mwalukuni mchanyato
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 401
- 220
Mtandao wa kijamii Facebook inasemekana upo mbioni kuanzisha huduma ya kifedha katika kutuma na kupokea fedha bure bila kulipishwa tozo ya makato.Huduma hiyo itaanza kuzinduliwa kwa kutumika nchini marekani na itakuwa inatumika kupitia Facebook kwa waliojiunga upande wa messenger katika kuchati.Tujiandae wabongo wenzangu hususan wale mnaopenda vya bure.