Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,830
- 16,673
Wapendwa hapa JF za siku, bila shaka wengi wetu hapa ni wapenzi wa mitandao mbalix2, ukiwemo wa fb, jitahadharini sana sana na huu mtandaoo, umeshavunja uhusiano wa wapenzi wengi sana, na sbb hizi hapa;
1: Utakuta msg nyingi mmechat with different people, as usual kama young guys watatongozana na kumpa hongera mwingine mara mrembo, handsome etc, hii kwa wenye mahusiano ni sumu kubwa, itawamaliza, trust me
2. Utakuta pictures za zamani say mlipiga na different men & women, na wote wapo in ur friends list, na wamemwaga sifa kibaoo kuhusu those pics, nakwambia hii inampa mawazo mpenzi wako kuwa bado mna mahusiano fulani hata kama hamkuwa wapenzi, hiii ni hatari kwenye uhusiano wenu kabisa, stress levels kila siku zitawaua
3. Mbaya zaidi unakuta mmoja wenu kwenye mahusiano ya mapenzi yenu yeye kila siku ana add friends kibaooo, unakosa majibu, huyu vipi, anawajua hawa watu wooote wapi? Na mmoja wenu ataanza kuudhika, kuanza kuwaza labda hutosheki nae, each day new friends kibaooo, ukiuliza utaambiwa just friends na hawajui, hapa kaa mbali
4. Picha zote ulizopiga na wanaume/ wanawake tofauti zinaweza kujieleza waziiii nyie mkoje, ni wapenzi au la, au ww ni mhuni au la, so hata ukimpata mpenzi mkaanza uhusiano akaja kuziona atashtuka, na kusema hapa nimekosea, just kwa vitu vya past labda hata hukufanya lolote sana,
So mm nawatakia mapenzi mema, mcje kuumizana kisa Facebook, muwe macho wana jamii wenzangu, haya ni machache tu