Face to Face with Zitto Kabwe: Kuhusu Kupika Data, "Namheshimu Sana Rais Magufuli ila Sio Mkweli!. Uchumi Umesinyaa!.


Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,603
Likes
32,148
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,603 32,148 280
Wanabodi

Nimekutana na Mhe. Zitto Kabwe katika event ya Policy Forum pale British Council last week, nimefanya nae a short interview ya maswali mawili tuu.
1. Hoja ya yeye kupika data za kiuchumi kwa nini anatofaitiana na mamlaka rasmi za taarifa za makusanyo, nani kati ya serikali na yeye ndie mkweli, au yeye ndie anapika data for political mileage?.
2. Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, rais kasema makusanyo yameongezeka, kumbishia rais ili kuonyeshea rais anasema uongo, huu sio ukosefu wa adabu, heshima na nidhamu?.

Msisikilize Zitto Kabwe mwenyewe.


Paskali
Update
News Alert: - Serikali yamjibu Zitto Kabwe, yasema anapotosha kuhusu takwimu za pato la Taifa

Baada ya serikali kukanusha taarifa hii ya Zitto, hii I namaanisha Zitto amepika data, na kupika data ni kosa la jinai, hivyo sasa tunaisubiria serikali impandishe kizimbani Mhe. Zitto, malumbano haya yakafungwe rasmi.

Paskali
 
NTIGAHELA

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
269
Likes
63
Points
45
NTIGAHELA

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
269 63 45
Nilitegemea kuona majibu ya Taarifa ya Uchumi ya Kamati kuu ya ACT-wazalendo yakijibiwa na wataalamu wa masuala ya Uchumi kwa hoja.
Ila mgombea nafasi ya mpambe amejitokeza na kubwajabwaja maneno hayaendani na hoja.
Kumbe Ugonjwa wa zittoism sio kwa mkuu tu mpaka wapambe nuksi wa wapambe.
 
Mjamii

Mjamii

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
1,025
Likes
168
Points
160
Mjamii

Mjamii

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
1,025 168 160
Inategemea huyo Baba yako amekuzoesha kumdanganya kwa kiwango gani! Kumbuka sio yeye aliezitengeza hizo Takwimu! Bali kapewa na wajanja wanaojua ni kitu gani anapenda kukisikia! Sitarajii Mzee kama akibebeshwa taka tutaacha kumwambia kwa vile ni baba! Huo utakuwa unafiki wa kufa MTU!
 
C

chige

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
8,264
Likes
15,793
Points
280
C

chige

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
8,264 15,793 280
Halafu upande wa serikali wala sijaona mtu anaeweza kujibu hoja za Zitto kwa kutumia facts and figures!!!

Zitto akisema uchumi umekua kwa 5% halafu ukaonesha Ripoti ya BoT kwamba uchumi umekua kwa 7% wakati ameshasema data zimepikwa; hapo unakua hujajibu hoja manake, ni sawa na Mwislam anayeamini Yesu sio Mungu halafu anataka kumthibitishia Mkristo kwamba ni kweli Yesu sio Mungu lakini reference anayotumia ni Quran!!
 
M

Makambo zali

Senior Member
Joined
Sep 23, 2017
Messages
183
Likes
434
Points
80
M

Makambo zali

Senior Member
Joined Sep 23, 2017
183 434 80
paskali,mtafute na yule mwanasheria aliyepewa ugavana atuambie atawezaje kujenga hoja za kiuchumi mbele ya wanauchumi wa Benki ya Dunia,IMF na mbele ya magavana wenzie,

na atuambie yale makabati ya accounts aliyasomea wapu au mara ya mwisho aligusa daftari la somo la uchumi
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
8,075
Likes
15,430
Points
280
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
8,075 15,430 280
kinachonishangaza Ni wale wanaojaribu kumjibu zitto kwa kumshambulia yeye binafsi badala ya kumwaga data za ukweli!!

Kumitisha mtu hakusaidii ila kumjibu kwa facts tu ndio dawa pekee ila bahati mbaya kuanzia rais mpaka waajiriwa hawana data za kutosha!
 
B

Baba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2011
Messages
783
Likes
633
Points
180
B

Baba Mkali

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2011
783 633 180
Sasa Paskali mbona ndio umemuumiza zaidi president wetu? Yaani ni kama umempa Zitto nafasi ya kushindilia vizuri msumari, Lol!!

Nishawaambia Zitto asipewe nafasi ya kujieleza, bado hatuna mtu wa kujibishana nae kwa hoja na data. Atatuumbua zaidi
 
ijooo

ijooo

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Messages
702
Likes
1,026
Points
180
ijooo

ijooo

JF-Expert Member
Joined May 13, 2017
702 1,026 180
Raisi sio baba pascal raisi ni mtumishi wa umma he works for the people tena he is paid to do that its a job.the problem ni kwamba wakiwa maraisi wanajisahau totally just bcoz he is protected wanasahau why they r protected and from whom they are protected against hiki cheo sio cheo kizuri.baba ni kitu kikubwa sana kuliko uraisi no father is paid to be a father while its permanent once a father alwayz a father.tutake radhi kina baba kutufananisha na dhambi za ofisi ya uraisi...
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,407
Likes
5,803
Points
280
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,407 5,803 280
Naamini Prof Ndulu kwa ubora wake angeweza kucheza kitaalam na kuokoa jahazi kumjibu ZZK lakini sababu ametumbuliwa kwa kejeli bila heshima kama Mkuu wa chombo nyeti kabisa......najua atabakia anacheka na kupiga vijembe vya pembeni.....na washirika wake wa karibu....akifanya handover kwa mteule!!!!
 
Bondpost

Bondpost

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
2,075
Likes
626
Points
280
Bondpost

Bondpost

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
2,075 626 280
paskali,mtafute na yule mwanasheria aliyepewa ugavana atuambie atawezaje kujenga hoja za kiuchumi mbele ya wanauchumi wa Benki ya Dunia,IMF na mbele ya magavana wenzie,

na atuambie yale makabati ya accounts aliyasomea wapu au mara ya mwisho aligusa daftari la somo la uchumi
Kwanza soma hii sheria ya kuhusu uteuzi wa gavana wa BOT especially hapo palipozungushiwa mduara mwekundu baada ya hapo naamini maswali yako mengi yatakuwa yamejibiwa. Ila kiufupi sheria haizuii sababu kumbuka yeye ni mkuu wa taasisi kiutawala ila wataalamu ni hao manaibu gavana watattu NA wengineo huko kwenye idara zao
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,250,178
Members 481,248
Posts 29,723,245