F.M sonry (mafisadi) wanaimaliza Tanzania, tufanye maombi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Kuna mambo mengi sana yanaendelea Tanzania na kuna viashirio vingi sana kuonyesha dalili kuna mafisadi wananguvu sana Tanzania.

Kuna mifano mingi sana, kwa mfano Viongozi wa sicm waliokatika F . M sonry wanatoa kauli za kuwagombanisha waumini na viongozi wao. Viongozi wengine wa dini wanakula pesa za mafisadi ili kushambulia viongozi wa dini walio waadilifu na wanaokosoa ufisadi.

Kitendo cha Kiongozi fulani kusema kuwa kuna viongozi wa dini wanauza unga bila kuwataja au kuwachukulia hatua ni matendo mojawapo ya kuvunja umoja wa watanzania ili washindwe kuombea nchi yao.

Kwanini wasitaje majina yale ya wauza Unga waliyopewa na marehemu Amna Chfpa??

Viongozi waliokatika F. m sonry wameingia katika nguvu hizo za giza ili kuwapumbaza watanzania wasahau ufisadi wao na waendelea kuiba rasilimali za Tanzania.

Watanzania wanahitaji kufanya maombi sana na pamoja tutashinda. katika mojawapo ya mikutano ya Mch Mwl Mwakasege amesema hili. Na atakwenda Israel Hijja kuombea Tanzania.

Kuna ajali sana tanzania, ajali za kutisha kumbukeni zile ajali zilizotokea mikumi ambapo gari la taarabu na hood zilipata ajali mbaya. Pia una ajali nyingine mabaya tu.

Hizo ni kafara za wanachama wa F msonry wanatoa kwa shetani. Watanzania tuombe jamani

Hawa mafisadi wanaimaliza Tanzania jamani utasikia mara trilioni 3 mara bilion kadhaa///

Bei za mafuta zinapanda sana, umeme hakuna -HAO WOTE NI MATOKEO YA UFISADI.

Hao mafisadi wanatumie nguvu za Giza za F m sonry kupumbaza watanzania ili wao waendelee kuwanyonya.

Hata wanaharakati sasa hivi wako kimya (Hypnotized)

angalia mafuta taa ghali, umeme hakuna na mbaya zaidi gesi inayochimbwa Tanzania ni ghali kuliko

Hapa watu wanatumie mkaa. mitu inakatwa ovyo. Tena misitu ya asili ndo inaangamizwa.

Mvua hakuna, misitu ya asili inakatwa kwa ajili ya mkaa, vyanzo vya maji kuharibiwa, ukame waja tanzania na njaa yaja wajemeni.

Not so far, ukame utaikumba Tanzania, njaa kama Kenya na somalia....TAKE ACTION now please.

Waandishi wa habari wa mazingira, wanaharakati mko wapi???

Kwani nini serikali isi subsidize solar power na kupunguza bei ya mafuta taa na gesi

Wanaharakati wa mazingira na waandishi wa habari wa mazingira mnaandikaga ninii
 
Angalia sasa, hawa maraisi na ma PM wastaafu walivyo walafi wa ardhi. KWani watanzania wengine hawataki ardhi??

Vigezo gani vimetumika wao wapewe. Jamani watanzania tumezidi kuwa mazoba

Watanzania tumelogwa na Nani, Nani ametupumbaza hivi???

Wananchi tuya vamie haya mashamba na tugawane kama walivyofanya kule Tengeru- Arusha Wameru walivyo kata kata shamba la Mh Aloise Kimaro
 
Tanzania inayumba sana na uchumi umeporomoka sana

Kwa nini nini

Hakuna uzalishaji, hakuna export

Tuna import more ndo maana shilingi haina thamani

Tuta export nini?? kama hatuzalishi??

Kama hayo mashamba maekari na maekari yangezalisha basi tungepata mazao ya kuexport (mboga mboga, nyama nk)

hao mafisadi wangejenga viwanda Agriculture processing factory kama kenya

Vijana wangepata ajira na nguvu kazi inayopotea ingelizalishia tija
 
Back
Top Bottom