EYE SPY: Viva Anne Kilango Malecela!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,116
[/EYE SPY: Viva Anne Kilango Malecela!

ADAM LUSEKELO
DAR ES SALAAM

I USUALLY don't watch the Bunge performances. I once tried to watch the show. Only to end up waking up with a start. Someone in the House had successfully put me to sleep.

But on Thursday evening I was in my favourite watering hole when I saw Aunt Anne Kilango Malecela performing. She basically said that the Bunge should stop taking crap from the government in the on-going cover-up of the looted EPA funds.

The entire United Republic of Tanzania knows who did the stealing. It is the top dogs in the government who stole the money. They did that with the collusion of top mafia groups in the government and business con-men.

The probe team which was set up to check out the EPA scandal is prevaricating to give us the names of the unarmed robbers. Eti, they don't want to jeopardize the evidence.

They are simply not saying the truth. We all know that the list of names reads like a who-is-who in the government. Aunt Anne Kilango Malecela demanded the names of the thieves.

''If the EPA money will not be returned, it will not be an easy ride in this House. A few of us still love this country and are ready to die for the cause!''She said with great emotion.

I checked out her body language and came to the conclusion that Aunt Anne meant what she said. Body language is a discipline we hack to learn.
Once you get the hang of it is very easy to tell if someone is lying or not.

There are our 'honourables' in Dodoma who simply go there to waste the oxygen in the House. Most go there for money, of course. But if you check their body language you can tell that the guy who is droning on and on simply has nothing to say.

Anyway thank God we are getting there. There is real anger to the government that things cannot continue as they are. Tanzanians cannot forever live with this impunity and piles upon piles of lies!

Aunt Anne also talked about another scandal most of us had forgotten about some 216 billion from the Commodity Import Support (CIS) fund back in the 1992.

So the thieving game did not start yesterday. It has been going on for ages. You sometimes wonder do those aspiring public officers go for it to serve Tanzania or for the money?

By the end of Aunt Anne's show the entire club cheered loudly. I can sense that the Bunge now becoming a House worth listening to. Increasingly there are now MPs appearing who are actually having something to say and not just talking hot air!

mailto:Mbwene2@yahoo.com

Anna Kilango ajibu mapigo

2008-06-22 13:41:05
Na Mwandishi Wetu

Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Bi. Anne Kilango amesema iwapo kauli ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Bi. Anna Abdallah itasaidia kurejesha fedha za Watanzania hatakuwa na matatizo nayo.

Alisema hayo wakati akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka mjini Dodoma jana kufuatia kauli za Bi. Anna kwamba hakuna mbunge anayetishwa na mwoga kuzungumzia suala hilo.

``Mheshimiwa Anna Abdallah ni kama mama yangu mzazi, lakini matamshi yake yasitutoe kwenye hoja ya msingi ambayo inawataka wabunge kuungana na kupambana ili fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) sh. bilioni 133 na Sh. bilioni 216 zilizokopwa mwaka 1992 za Mpango wa Uagizaji Bidhaa Nje (Import Support Commodity) ambazo ni za Watanzania zirejeshwe ili zitusaidie kuendeleza taifa letu changa,`` alisema.

Akichangia hotuba ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustapha Mkulo, Bi. Anna Abdallah alisema hakuna mbunge anayeogopa kuzungumzia suala la ufisadi katika fedha za EPA za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kwamba halipaswi kuwagawa wabunge.

Alitoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja tangu Bi. Anne Kilango atoe wito kwa wabunge wenzake kutoogopa vitisho katika kuzungumzia suala hilo ili mradi wanasimamia ukweli na haki.

Alisema kuwa kimsingi hakuna mbunge anayeogopa kulizungumzia hilo isipokuwa wanatofautiana katika kulisema huku wengine wakilizungumzia kwa mbwembwe.

Wakati huo huo, mwandishi Simon Mhina anaripoti kuwa kamati maalum ya vyama vya upinzani nchini imemsifu Mbunge wa Same Mashariki Bi. Anne Kilango kwa kufungua ukurasa mpya katika Bunge kwa kuthubutu kwenda kinyume na ukiritimba wa vikao vya chama chake kwa kujitoa mhanga na kufichua upya kashfa Akauti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Walidai kuwa ufisadi huo umefanywa na baadhi ya vigogo na watu wanaotuhumiwa kuhusika wengi wao ni wana CCM.

Aidha ilielezwa kwamba wabunge waliodiriki kumpinga, wakiongozwa na Bi. Anna Abdallah wa Viti Maalum, wanataka kudhoofisha juhudi za kurejeshwa wa fedha hizo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Hotel ya Travetaine, iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa kamati hiyo Mchungaji Christopher Mtikila alisema kauli ya Bi. Kilango kwamba kuna kikundi kidogo kimepora fedha za nchini, ni ushindi kwa walala hoi.

Mwanasiasa huyo, alisema wapinzani wameamua kumsifu Bi. Kilango kwa vile amevunja mwiko wa ukiritimba wa chama chake na kuweka mbele maslahi ya Watanzania pale aliposisitiza kwamba ni lazima waliopora fedha za EPA wazirejeshe.

``Kilango ni mbunge bora katika karne hii, anastahili kuungwa mkono na kila Mtanzania, ametoa somo kubwa kwa gharama ya kujitoa mhanga yeye binafsi,`` alisema.

Alisema ushujaa wa mbunge huyo, unaonyesha kwamba hivi sasa nchi inakaribia kukombolewa na wale walioshiriki kuipora na kuwafanya wananchi waishi kimaskini watakamatwa.

Mchungaji Mtikila, alisema ushujaa wa Bi. Anne unaashiria kwamba zama za kuwa na bunge lenye kuburuzwa na wanasiasa, kwa maslahi binafsi sasa zimefikia tamati.

Kwa mantiki hiyo, aliwataka Watanzania kumpuuza Anna Abdallah kwa vile hoja zake zinaonyesha kwamba ana fikra mgando na bado giza la chama kimoja limemjaa.

Aliwakumbusha wana CCM kwamba katika uchaguzi ujao, watakaoshinda ni wale ambao wameonyesha dhamira ya kuwapigania wananchi wanyonge, hata kama kwa kufanya hivyo wataonekana wanakwenda kinyume na vyama vyao.

``Kile tulichokipigania kwa miaka mingi, kwamba wananchi wawe na viongozi huru, wasiofungwa na tabaka lolote, sasa kinaanza kutimia, na Mungu alivyo mkubwa, wanaokianzisha ni CCM wenyewe.

Zama na ukiritimba zimepita tunamsifu Kilango kwa kulikomaza bunge na kulifanya liheshimike kwa wananchi,`` alisema.

Mchungaji Mtikila, alisema kauli ya Bi. Anna Abdallah kwamba mchango wa Bi. Kilango ulijaa mbembwe na upayukaji, zinakasirisha hasa ukizingatia kwamba wananchi wana uchungu na uporaji unaoendelea.

``Anna Abdallah wote tunamjua tabia yake, tunamuelewa alipotokea na aliyofanya, hatumshangai kwa vile kilichomfikisha pale sio elimu wala juhudi ya kazi ya mikono yake, ndio maana anamuonea wivu mwenzake,`` alisema.

Kuhusu hoja ya mbunge huyo kwamba kauli ya Bi. Kilango inaleta mgawanyiko, Mchungaji Mtikila alisema mwana mama huyo amejaa giza la ajabu kichwani pake, kiasi kwamba ameshindwa kuelewa kuwa lengo la kuwa na Bunge ni kutafuta mgawanyiko.

``Huo anaoita mgawanyiko, hasa ndilo kusudi la kuwa na bunge, ili watu wagawanyike katika fikra na mtazamo, wajadiliane kwa hoja, kisha lile jema lichukuliwe, baya liachwe. Bunge lisilo na mgawanyiko, hilo halikidhi haja kwa wakati huu tulio nao,`` alisema.

Wakati huo huo, Mchungaji Mtikila alisema Watanzania wanatakiwa kumpa nguvu Spika wa Bunge Bw. Samwel Sitta, ambaye hivi sasa kuna njama za kumuondoa kwenye wadhifa wake, kutokana na msimamo wake wa kuwa upande wa wananchi.

Alisema kuna Mbunge mmoja tajiri, ambaye hana asili ya `Tanganyika` ndiye anayeongoza vita dhidi ya Spika.

Alionya kwamba Mbunge huyo pamoja na Rais mstaafu Bw. Benjamin Mkapa, pingu ziko njiani `zinasaka` mikono yao, kwa vile ndio chanzo cha ufisadi nchini.

SOURCE: Nipashe
 
Huyo mbunge anayeongoza vita dhidi ya spika kama hawataki kumsema ni mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata - Rostam Azizi.

Sio tu anapambana kulipa kisasi kwa spika kwa yale yaliyompata Lowassa, ameanzisha vita ya chini kwa chini dhiki ya Mwakyembe na adui mpya wa mafisadi nchini - Mama Anne Kilango Malecela.
 
ADAM LUSEKELO:
Aunt Anne Kilango Malecela demanded the names of the thieves.

"If the EPA money will not be returned, it will not be an easy ride in this House...’’She said with great emotion.

I checked out her body language and came to the conclusion that Aunt Anne meant what she said.

Hii ni makala ya kupotosha bila kukusudia kwa sababu Lusekelo amefanya uvivu wa kutoangalia ishu kwa makini.

Anne Malecela kasema hela zisiporudi, Bungeni hapatatosha. Hakusema ana demand majina ya wezi, vinginevyo hapatatosha. Vitu viwili tofauti.

Halafu Lusekelo wewe ni alwatan wa uchambuzi wa mambo, utatuleteaje anaysis ya kusoma 'body language' bila kuangalia picha nzima ya ishu? Kwanini Malecela anachagua 'hoja miteremko' kushupalia hoja ya Pinda ya hela kurudisha hela badala ya yeye kusema "wasiposhitakiwa, Bungeni hapatakalika?"

Lusekelo, hata wewe Mzee wa uchambuzi unawekewa ndumba mawazoni kwa kunyeshwa maji ya sharubati?
 
Uchambuzi wa makini kwa upande wako ni upi?

Anne Malecela kasema hela zisiporudi, Bungeni hapatatosha. Hakusema ana demand majina ya wezi, vinginevyo hapatatosha. Vitu viwili tofauti.

Una hakika na hili mkuu?

Halafu Lusekelo wewe ni alwatan wa uchambuzi wa mambo, utatuleteaje anaysis ya kusoma 'body language' bila kuangalia picha nzima ya ishu? Kwanini Malecela anachagua 'hoja miteremko' kushupalia hoja ya Pinda ya hela kurudisha hela badala ya yeye kusema "wasiposhitakiwa, Bungeni hapatakalika?"

Wewe ni nani kumchagulia mama Malecela namna ya kusema bungeni?

Lusekelo, hata wewe Mzee wa uchambuzi unawekewa ndumba mawazoni kwa kunyeshwa maji ya sharubati?

Umegundua leo kuwa Lusekelo ni mzee wa uchambuzi?
 
1.
[/EYE SPY: Viva Anne Kilango Malecela!

ADAM LUSEKELO DAR ES SALAAM

I USUALLY don’t watch the Bunge performances. I once tried to watch the show. Only to end up waking up with a start. Someone in the House had successfully put me to sleep.

But on Thursday evening I was in my favourite watering hole when I saw Aunt Anne Kilango Malecela performing. She basically said that the Bunge should stop taking crap from the government in the on-going cover-up of the looted EPA funds.

2.
Quote:- Kuhani

Hii ni makala ya kupotosha bila kukusudia kwa sababu Lusekelo amefanya uvivu wa kutoangalia ishu kwa makini. Anne Malecela kasema hela zisiporudi, Bungeni hapatatosha. Hakusema ana demand majina ya wezi, vinginevyo hapatatosha. Vitu viwili tofauti.

Halafu Lusekelo wewe ni alwatan wa uchambuzi wa mambo, utatuleteaje anaysis ya kusoma 'body language' bila kuangalia picha nzima ya ishu? Kwanini Malecela anachagua 'hoja miteremko' kushupalia hoja ya Pinda ya hela kurudisha hela badala ya yeye kusema "wasiposhitakiwa, Bungeni hapatakalika?" Lusekelo, hata wewe Mzee wa uchambuzi unawekewa ndumba mawazoni kwa kunyeshwa maji ya sharubati?

3.
Quote: Tanzania Media

Wakati huo huo, mwandishi Simon Mhina anaripoti kuwa kamati maalum ya vyama vya upinzani nchini imemsifu Mbunge wa Same Mashariki Bi. Anne Kilango kwa kufungua ukurasa mpya katika Bunge kwa kuthubutu kwenda kinyume na ukiritimba wa vikao vya chama chake kwa kujitoa mhanga na kufichua upya kashfa Akauti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Walidai kuwa ufisadi huo umefanywa na baadhi ya vigogo na watu wanaotuhumiwa kuhusika wengi wao ni wana CCM.

Aidha ilielezwa kwamba wabunge waliodiriki kumpinga, wakiongozwa na Bi. Anna Abdallah wa Viti Maalum, wanataka kudhoofisha juhudi za kurejeshwa wa fedha hizo.

Yaaani kumbe tunawezwa kunyeshwa maji ya sharubati hapa tusipokuwa waangalifu, wanadai hawataki maji ya sharubati na kool aid wakati wao wenyewe ndio wa kwanza kujaribu kutunywesha, wallahi JF tumeingiliwa mimi simo!
 
Uchambuzi wa makini kwa upande wako ni upi?...Wewe ni nani kumchagulia mama Malecela namna ya kusema bungeni?...Umegundua leo kuwa Lusekelo ni mzee wa uchambuzi?

Uchambuzi wa makini ni ule unaoangalia picha nzima ya ishu, sio kusoma body language ya Mwanasiasa akitoa spichi. Sehemu ya hiyo picha ambayo Lusekelo hakuiangalia - kwa sababu nae kesha nyweshwa maji ya sharubati -ni kwamba: kama Malecela kweli ana balls, kwa nini asiseme wasiposhitakiwa hapa hapatatosha? Think about it for a second, hiyo ya kurudisha hela za EPA ana piggy back ishu ambayo anajua Pinda kesha sema hela zimerudi, na tutathibitishiwa.

Anajua uwezekano ni mdogo kwamba Waziri Mkuu aseme hela zimerudi na tutazionyesha, wakati hajaziona. Malecela hataki kulipa political price ya kusema wezi ni kina nani, la sivyo hapa hapata kalika... Ni sawa na teenager ambae hataki kulipa nauli ya subway, anasubiri mtu akipita kwenye turnstiles nayeye ana piggy back nyuma yake. Anachagua angle za kuingilia kwenye ishu huyu Mama. Ni msanii. Anamtetea Kikwete, after all!

Lusekelo ni mwepesi, nilisema kwenye posti yangu ya kwanza hapa JF. Lakini kwa sababu ni alwatan wa uchambuzi nilimpa ka benefit of expectation kwamba nayeye angelishtukia hili. Lakini kumbe ni mwepesi kuliko ninavyodhani ni mwepesi.

Oh, la mwisho Mkuu, MWFK: ukishaanza kusema 'wewe ni nani mpaka umchagulie Malecela cha kusema...' hapo unaanza kutetea haki yake ya kusema alichosema badala ya kutetea alichosema. Kwa maneno mengine unakubali kubali kwamba hata kama anachemsha, ni poa, kwa sababu mimi Mwananchi mpiga kura sina haki ya kuchambua na kukataa anachosema Mbunge. Now, that's a bunch of huey. I'm sorry MWFK, lakini hivyo ndivyo tulivyofika hapa tulipo na tutakataa kunyeshwa hayo maji ya sharubati!
 
Uchambuzi makini ni ule unaoangalia kila kitu ikiwemo body language. Kama mwl wako hakukufundisha hili basi inabidi afukuzwe kazi.

Anajua uwezekano ni mdogo kwamba Waziri Mkuu aseme hela zimerudi na tutazionyesha, wakati hajaziona. Malecela hataki kulipa political price ya kusema wezi ni kina nani, la sivyo hapa hapata kalika... Ni sawa na teenager ambae hataki kulipa nauli ya subway, anasubiri mtu akipita kwenye turnstiles nayeye ana piggy back nyuma yake. Anachagua angle za kuingilia kwenye ishu huyu Mama. Ni msanii. Anamtetea Kikwete, after all!

Baada ya yaliyompata Bill Clinton mwaka 1993 na 1994 pale alipoingia ikulu tu na kuanza kutaka mabadiliko ya mambo mengi kuanzia health care hadi suala la gun control, yamewafundisha wanasiasa kufanya mambo machache kwa wakati mmoja.

Mama Malecela anachukua one step at a time - kitu ambacho kinampa nafasi ya kufanikiwa zaidi kuliko kufanya yote kwa pupa.

Lusekelo ni mwepesi, nilisema kwenye posti yangu ya kwanza hapa JF. Lakini kwa sababu ni alwatan wa uchambuzi nilimpa ka benefit of expectation kwamba nayeye angelishtukia hili. Lakini kumbe ni mwepesi kuliko ninavyodhani ni mwepesi.

Nilidhani utaitisha Lusekelo afukuzwe kazi maana sasa hivi nashindwa kukutofautisha wewe na Mushi

Oh, la mwisho Mkuu, MWFK: ukishaanza kusema 'wewe ni nani mpaka umchagulie Malecela cha kusema...' hapo unaanza kutetea haki yake ya kusema alichosema badala ya kutetea alichosema. Kwa maneno mengine unakubali kubali kwamba hata kama anachemsha, ni poa, kwa sababu mimi Mwananchi mpiga kura sina haki ya kuchambua na kukataa anachosema Mbunge. Now, that's a bunch of huey. I'm sorry MWFK, lakini hivyo ndivyo tulivyofika hapa tulipo na tutakataa kunyeshwa hayo maji ya sharubati!

You dont have to be sorry kuhani kwa sababu kadri wewe unavyoona kuwa Mama Malecela anachemsha ndivyo na mimi naona kuwa unachemsha. Hili ni swala la perception na mimi siwezi kubadili hili kwa upande wako
 
Uchambuzi wa makini ni ule unaoangalia picha nzima ya ishu, sio kusoma body language ya Mwanasiasa akitoa spichi. Sehemu ya hiyo picha ambayo Lusekelo hakuiangalia - kwa sababu nae kesha nyweshwa maji ya sharubati -ni kwamba: kama Malecela kweli ana balls, kwa nini asiseme wasiposhitakiwa hapa hapatatosha? Think about it for a second, hiyo ya kurudisha hela za EPA ana piggy back ishu ambayo anajua Pinda kesha sema hela zimerudi, na tutathibitishiwa.

Anajua uwezekano ni mdogo kwamba Waziri Mkuu aseme hela zimerudi na tutazionyesha, wakati hajaziona. Malecela hataki kulipa political price ya kusema wezi ni kina nani, la sivyo hapa hapata kalika... Ni sawa na teenager ambae hataki kulipa nauli ya subway, anasubiri mtu akipita kwenye turnstiles nayeye ana piggy back nyuma yake. Anachagua angle za kuingilia kwenye ishu huyu Mama. Ni msanii. Anamtetea Kikwete, after all!

Lusekelo ni mwepesi, nilisema kwenye posti yangu ya kwanza hapa JF. Lakini kwa sababu ni alwatan wa uchambuzi nilimpa ka benefit of expectation kwamba nayeye angelishtukia hili. Lakini kumbe ni mwepesi kuliko ninavyodhani ni mwepesi.

Oh, la mwisho Mkuu, MWFK: ukishaanza kusema 'wewe ni nani mpaka umchagulie Malecela cha kusema...' hapo unaanza kutetea haki yake ya kusema alichosema badala ya kutetea alichosema. Kwa maneno mengine unakubali kubali kwamba hata kama anachemsha, ni poa, kwa sababu mimi Mwananchi mpiga kura sina haki ya kuchambua na kukataa anachosema Mbunge. Now, that's a bunch of huey. I'm sorry MWFK, lakini hivyo ndivyo tulivyofika hapa tulipo na tutakataa kunyeshwa hayo maji ya sharubati!

Kata issue mkuu...JF hapa wananchi waje wataujua ukweli!
Jf imegawanyika ila wananchi wanafuatilia kwa makini kwani nawao pia wamegawanyika!
Ila God willing Tutapata solution!
 
Kumbe umejua leo kuwa JF imegawanyika? Huna habari kuwa waliosaidina na polisi hadi wana JF wakamatwa ni active members wa JF? Wana JF hawawezi kufikiri sawa. Walikuwa wamegawanyika kuanzia day one na wataendelea kugawanyika hadi kiyama.
 
Back
Top Bottom