EYE SPY:Bongo illiteracy created deliberately!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,832
287,782
EYE SPY:Bongo illiteracy created deliberately!

Adam Lusekelo
THIS DAY
DAR ES SALAAM

I have been thinking why have our education standards fallen so pathetically? After deep deliberation I have come to realise that one should not think this is an accident. This is no accident. The thing has been deliberately crafted by most of our legislators and other politicians.

Who is the easiest man to lie to, manipulate and control? An uneducated person, of course. You can tell anything to a guy who has never seen the insides of a decent classroom. He will believe all that bull-crap!

Look how the politicians lied to us in all the last elections. The masses of poor, most uneducated Tanzanians swallowed the lies hook, line and sinker. They were told that there will be millions of jobs. It never happened.

The people were told that the candidates were in first name terms with God Almighty himself. They believed that crap. They were told that the government will build roads to heaven. The people swallowed it.

It's cool when the vast majority of the population remain in the dark. You can rob tonnes of money from EPA at the BoT and no one will ask you. They will not ask you in the first place. They will hardly know if there is any money in the first place! Bank? What is a bank?

If the poor, uneducated fellow needs money he will gladly sell his own kid. If it's a woman, and even some men they will sell their bodies. Come elections and you give him a T-shirt, or a pair of khanga and a cap, he will vote for you. If you are a politician you could add and slaughter a cow. A few beers and a bit of nyama choma and the illiterate dum dum is all yours!

A buddy of mine came over from the Lake Victoria region. I asked him the psychology of condoning criminal acts by some legislators caught with their hands on the cash-tiller. It seems that the common people live for now. Give me beer and nyama choma and I am yours!

But that is what most politicians love. It's very easy to manipulate such people and the legislators nod to this. The politicians also use the poor dum dum as cannon fodder come election time. For a few coins they will cheer themselves hoarse for the bwana mkubwa.

The late Mzee Mwalimu Nyerere (RIP) saw this from afar. He taught again and again that education is a light. You go into a dark room and switch on the light and you 'see'.

Some of us received primary and secondary education for free. Even the Chuo Kikuu was free. In fact you got paid money for attending college.

But now all is kaput. Our rulers have turned their backs on this pillar of society. I mean, I can't understand it when there are ex-standard seven kids who can't read! The entire education system is a disaster. Kids are not going to school.

Not the kids of the ruling political establishment, of course. They will literally murder so that they get their totos to schools abroad. You can easily see the big picture.

Once bwana mkubwa gets his kids to school, he will start preparing his sibling for a cushy job in banking or high commerce. Some names of some MPs, still with baby-fat and with their baby-faces are sons of former presidents, ministers and former big shots. You can see them performing on TV.

mailto:mbwene2@yahoo.com
 
Nafikiri kuna wanao omba hata vyuo vilivyopo vigeuzwe kuwa primary school au secondary School kubwa hili watoto wao waweze kuandaliwa kuwa viongozi wa wajinga hapo baadaye na kuandaa mipango kabambe ya kufaidi kuiba kupitia mifuko ya EPA na deal fake hapo mbeleni.
 
Nadhani kilichomponza Lowasa sio uwaziri mkuu, nimkakati wake wakihakikisha angalau kila mtoto wa mtanzania anapata elimu ya sekondari, tangu ang'oke ujenzi umefubaa na pesa kidogo zilizosalia ndo zinatumika kutolea mahari.

Loan Board ndo sasa agenti wa kupumbazisha watanzania, sidhani kama nchi itakuwa na wataalamu bora kama watoto walioko vyuoni hawapati ada chakula na accomodation za kutosha.
 
Watoto wa Tanzania wanaopata elimu zaidi ya ile ya msingi hawafikii hata nusu ya watoto wote Tanzania.

Na hata hao wenye kwenda sekondari si wote wanaokwenda kwenye elimu ya juu kama universities nk.

Hivyo mapinduzi yanahitajika Tanzania...Lusekelo amefupisha ujumbe ila maana imebaki pale pale kuwa Mafisadi hawana nia nzuri na Taifa letu na wao ndio wakoloni weusi wanaotaka kuwa wafalme wa nchi hii!

Mali za Taifa wanazo wao,Uongozi wanao wao...NA UHURU WETU PIA TUWAPE?
Tatizo ni watanzania wengine hatutakubali.
 
Class in itself and a class of itself. Angalia viongozi wetu wanaosomesha watoto wao hapa Tanzania. Sana sana ni wale ambao labda hawana njia za ujanjaujanja. Kila siku wanafunzi wa chuo Kikuu wakipiga kelele na kulalamika kuhusu sera zinaztekelezwa na serikali kuhusu kuwalazimisha kuchangia gharama za masomo wanaonekana wajinga. Now sasa wengine wameanza kuona. The best weapon to deal with a person is not to educate him.
 
Nadhani kilichomponza Lowasa sio uwaziri mkuu, nimkakati wake wakihakikisha angalau kila mtoto wa mtanzania anapata elimu ya sekondari, tangu ang'oke ujenzi umefubaa.

Hapa kuhusu Lowassa sikubaliani na wewe. Huwezi kujenga primary schools nyingi halafu na sekondary ambazo hazina walimu waliofuzu. suala linakuja pale pale maholi yapo elimu hakuna. Yote waliokuwa wanafanya ya kujenga shule ni kujaribu kuhalalisha ufisadi wao. Ukweli kwa nchi kama TZ sasa hivi tulitakiwa kuwa na Vyuo vikuu 100. Kama unakumbuka tamko la Mohamedi Khatibu kuhusu kusitisha vyuo vya elimu ya kati kama IFM, CBE n.k kuwa university ni hatari wanayoiona kwa mustabali wa Taifa kuwa na watu wengi wenye Elimu ya juu nchini hapo baadae. Hapa ni kwamba ukiwaelimisha watu watadai haki zao kwa uwazi na wao (CCM) kama watawala watakuwa na wakati mgumu kwani hawataweza kuwadanganya welevu.
 
Ndio hao nasikia wanaitwa Yebo Yebo...Unajuwa Bongo nako mambo yalinipita mengi na baada ya kurevise nikagunduwa kuwa viongozi wetu wanatupeleka in a wrong direction.
Kwani tulikuwa tukitegemea watatupitisha vyema kwenye kipindi cha mpito kuelekea globalization.
Kwa watu kama sisi ambao tuko kwenye kizazi kilichiko hapo kwenye transitition period tumeweza kuona muda wa kipimo ni huu na kwasababu ni zaidi ya miaka kumi toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo huu...Matokeo yake haya si ya kuyakubali na hivyo ni lazima tupige stop na tutafakari upya na mawazo mapya yapewe kipa umbele.
 
Nadhani kilichomponza Lowasa sio uwaziri mkuu, nimkakati wake wakihakikisha angalau kila mtoto wa mtanzania anapata elimu ya sekondari, tangu ang'oke ujenzi umefubaa na pesa kidogo zilizosalia ndo zinatumika kutolea mahari.

Loan Board ndo sasa agenti wa kupumbazisha watanzania, sidhani kama nchi itakuwa na wataalamu bora kama watoto walioko vyuoni hawapati ada chakula na accomodation za kutosha.

Sijui wewe unaishi dunia gani? Kilichomuondoa EL uwaziri mkuu ni ufisadi, ni Richmond. Sio kuhakikisha kila mtoto anaenda shule. Wake up dude!
 
Nadhani kilichomponza Lowasa sio uwaziri mkuu, nimkakati wake wakihakikisha angalau kila mtoto wa mtanzania anapata elimu ya sekondari, tangu ang'oke ujenzi umefubaa na pesa kidogo zilizosalia ndo zinatumika kutolea mahari.

Yaani bado kuna watanzania wanamlilia hili nyang'au........

Hata angetujengea mahekalu kila familia bado nisingemlilia msaliti huyu.....

Tanzanianjema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom