external HD yangu imezingua jamani

99

New Member
Jul 7, 2008
1
0
Habari
Nimebadili Hard Disk katika latop yangu kisha ile niliyotoa nikaamua kuifanya External baada ya kuinunulia housing, lakini cha kushangaza imekuwa ikinizingua kwani napokopi muziki ndani yake nikienda nao kwenye pc nyingine hauplay but in mya laptop i can play it, sasa nakuwa sielewi tatizo liko wapi?
hiyo niliyotoa ni 80GB, nikaamua kuiformat yote kisha nikaanza kuweka nyimbo upya lakini still inakuwa ni vile kila wimbo naoukopi unabaki kuplay katika laptop yangu na si nyingine...kwa mwenye kujua tatizo hili tafadhali naomba anisaidie nifanyeje ili ikae sawa?
Thanx
 
Kama ni internal, umeangalia jumpers? Pengine ziko as Masters, na utatakiwa kuzibadilisha ziwe as Slaves ili iweze kutumika kwenye Computer nyingine. sababu nina imani hiyo computer nyingine itakuwa na hard drive yake. Jaribu hapo...
 
Angalia Licence Ya Hiyo Miziki Inawezekana Hiyo Computer Inyinge Haijawa Exported Au Download Codes Zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom