External Hard Disk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

External Hard Disk

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ngalewa, Jun 29, 2012.

 1. N

  Ngalewa Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa msaada wa Externa Hard Disk inachelewa kusoma niki connect kwenye PC na pia niki restart machine mpaka nikichomoa USB then niconnect tena ndipo itasoma tena.
   
 2. nyahenge

  nyahenge Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ubnormal behaviors za hard disk zinaweza sababishwa na cable unayotumia kuconnect yawezekana sio nzuri au imeanza kuchoka, au yawezekana hard disk yenyewe imechoka au ina virus check hivyo then utatoa feedback. jaribu kuconnect kwenye computer tofauti halafu uone utofauti
   
Loading...