Exposing Grand Corruption in Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Exposing Grand Corruption in Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Ab-Titchaz, May 11, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  Preamble: Uhuru Kenyatta ni mtoto wa Marehemu Jomo Kenyatta, Rais wa
  kwanza wa Jamhuri ya Kenya. Kwa sasa anamiliki nyadhifa ya Waziri wa
  Fweza wa Kenya.

  Kuna skendo mbili zina-unfold Kenya miongoni mwa nyengine kibao lakini hii
  ya huyu bwana ni kali zaidi. Wakati babake akiwa rais, jamaa waliiba
  mashamba kibao nchi nzima mpaka kuwafanya wakazi halisi kugeuzwa na
  kua maskwata on their own land.

  Baada ya lile fujo la mwaka juzi, ilibainika wazi kwa wakenya wote kwamba
  kama umemiliki ardhi katika sehemu ambazo huna ukoo/asilia, serikali
  haiwezi ku-guarantee usalama wako in the days to come. Kwa hivyo in
  these circumstances of things mamake Uhuru Kenyatta (Mama Ngina
  Kenyatta) akajipendekeza kwa serikali ya Kibaki kwamba she would
  sell some of the land back to the Govt ilimradi kuwasettle wale
  maskwata.Kwa jumla zile parseli za mashamba zingewaletea mabilioni
  kadhaa kama familia. Swali wakenya wanauliza ni je, mbona jamaa wanauzia
  serikali mashamba ambao kwamba waliiba in the first place? Pili mbona hii
  dili inaivishwa wakati Uhuru Kenyatta is the Finance Minister? Yaani fisi
  kawekwa kuchunga banda la kuku!!!

  Kisha baada ya hilo vumbi kufifia, pametokea skendo nyengine ya 9.2 billion
  kenya shillings katika bajeti.Jamaa wameitundika hii figure ndani ya bajeti
  ili kufurisha matumbo yao.Dili yenyewe iliposhtukiwa, Uhuru Kenyatta
  akajitetea kua ni typographical error!!!!...Inanikumbusha yule mzee
  wetu wa 'vijisenti'. A figure of 9.2billion KSH cannot be typo error no way
  na hapa kuna mchezo unachezwa.....Cha kusikitisha ni kwamba Kibaki naye
  anamsupport Uhuru Kenyatta katika hii ishu and it makes you wonder at
  wanton and rckless corruption in the clique that runs Kenya maana its
  not a government no more.Ushkaji na usanii umezidi.Soma makala...

  Sh9bn: Uhuru told he has Kibaki's support

  [​IMG]

  Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta (right) with President Kibaki's son, Jimmy, during a funds drive at the Othaya Catholic Church on Sunday. Mr Kenyatta blamed unnamed officials at the Treasury for the Sh9.2 billion "printing error" that has put him under the spotlight. A parliamentary committee will on Tuesday table its findings on the scandal, which Mr Kenyatta has blamed on political detractors


  By JOHN NJAGI and BERNARD NAMUNANE

  Posted Sunday, May 10 2009 at 20:17  In Summary
  Finance minister Uhuru Kenyatta was on Sunday assured that he had President Kibaki's support as he launched a public fight-back over the "typing error" that resulted in a Sh9.2 billion discrepancy in Budget figures.

  Mr Kenyatta, also a Deputy Prime Minister, was told by the President's son, Jimmy: "We are aware that there are many enemies who are fighting you, but if the President believes in you then the rest of Kenyans also support you."


  The public defence of the Finance minister came at a fund raising in President Kibaki's Othaya constituency, where speakers accused unnamed Treasury officials of colluding with Mr Kenyatta's political rivals.

  Mr Kenyatta has been under increasing pressure since blaming a typing or computer error for the massive discrepancy in the budgetary figures after initially denying in a Ministerial Statement in the House that there was anything wrong with the numbers, and launching scathing criticism against Imenti Central MP Gitobu Imanyara, who had raised the issue.

  On Sunday, Mr Kenyatta left the fund-raising meeting early, explaining that he had to rush back to his office to attend to the matter.

  "There are things in my ministry that appear to have gone wrong," he said before handing over the baton of chief guest to newly-appointed Nairobi Metropolitan Development minister Njeru Githae.

  An aide of Mr Kenyatta, who sought anonymity, told the Nation that the Finance minister was going to make a major reshuffle at the Treasury.

  Mr Kenyatta had blamed political enemies whom he claimed lacked a development agenda.

  "I urge those making noise, including the media, to go back and start working instead of focusing on the negative," he said.

  However, he did not offer explanations on how he came to read figures which had been altered.

  "You have all read the newspapers and what they have been reporting. But that will not detract me from working to achieve my goals," he said.

  In Othaya, his allies claimed that the Finance minister was being sabotaged by Treasury officials who were out to ensure that he fails in a docket that has recorded a high turn-over in the last five years due to scandals.

  Mr Kenyatta is one of the key politicians in the PNU coalition seeking to succeed President Kibaki. Others are Vice President Kalonzo Musyoka and Internal Security minister George Saitoti.

  Gichugu MP Martha Karua is also in the race, but she recently quit as minister for Justice and Constitutional Affairs, citing frustrations by forces hostile to reforms.

  In addition to Mr Jimmy Kibaki, other speakers who defended Mr Kenyatta at the meeting included assistant minister Kareke Mbiuki and Kamukunji MP Simon Mbugua.

  Mr Mbiuki, an assistant minister for Agriculture, claimed that Mr Kenyatta was a victim of sabotage.

  "We are aware there are people in the Treasury out to frustrate the Finance minister by giving him the wrong figures and we will not allow that to happen," he said.

  Mr Kenyatta has already invited the Criminal Investigations Department (CID and National Security Intelligence Services (NSIS) to investigate the matter.


  DAILY NATION*- Sh9bn: Uhuru told he has KibakiĆ¢€™s support

  Mungu naomba Ibariki Kenya kutokana na hawa mabwanyenye!
   
  Last edited: May 11, 2009
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  The clear picture from mars group:

   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto wa Kenyatta ni dagaa tuuu na katika watu huyu hahesabiwi kabisaaaa

  Hivi ushawahi kumsikia JOSHUA KULEI? kama hujawahi basi ujue huyu jamaa hakusoma kama unavyomwona ZUMA lakini mikoba yote ya Moi alikuwa anabeba yeye..in other words ndio kama CONSIGLIERI au tumwite TOM HAGEN figure wa the Godfather BABA MOI

  Then kama unamtafuta Michael CORLEONE wa Moithen why look far wakati GIDEON MOI yupo?

  Jamaa wana estimate in UK alone hakosi close to 1 billion POUNDS kwenye account
   
  Last edited: May 11, 2009
 4. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Looks like Tz budget?
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  SOMA hapa:

  KTM report - Wikileaks
  [​IMG]
  KTM report - Wikileaks
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  btw just like ROSTAM the Godfather baba Moi hakuna sehemu hata moja ambako utakuta signature yake kwenye haya madudu...ohh by the way Baba Moi ana certificate ya ualimu tuu siku hizi mnaziita Diploma
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Ebana GT,

  Gideon Moi ni balaa mkuu. Thanks kwa info hizi!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  These guys seem to be smart huh?
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  maana hizo 1 billion pounds tukibadilisha into Tshillings sijui tunapata kiasi gani

  acha wabongo wawaogope hawa waKenya
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ndio maana kunakuwa hakuna kesi ya kumuimplicate someone like Moi

  yeye alikuwa anamtuma Kulei na kulei akifika huko Genva anasema tuu katumwa na BABA MOI then kila kitu kinakuwa sorted

  Wanasema sometimes kama Moi akienda huko huwa haongei kitu ni ma British lawyers ndio wanaongea

  Sasa leo sisi tunapiga kelele kuhusu mafisafi sijui ohh Interpol ohhh sijui Scotland yard...what makes you think Mwingereza na akili zake atarudisha pesa za kamisheni za radar ambazo tayari zimenunua hisa kwenye kampuni ya RIO TINTO iliyonunuliwa na waChina karibuni toka kwa wa Australia?

  Don't even get me started kuhusu Mkulo alivyowekwa kiti moto na Peter Mandleson alipokwenda kuomba pesa wakati akina Mgonja na Yona walipowekwa ndani

  The bottom line siku hizi ukiwa fisadi na ukakamatwa basi utakuwa mjinga kuliko...
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi mnajua hawa waingereza wa CROWN AGENTS wanafanya nini?

  [​IMG]

  Cha ajabu mtaambiwa off wanawatrain civil servants wetu and blah blah lakini ukweli hawa ndio biggest link ya UFISADI ambao unahusisha UK
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #12
  May 11, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Website yao hii hapa lakini inabidi mwenye data nyeti atutonye basi.

  Crown Agents
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  May 11, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Menwhile the innocent are being targeted for 'disciplinary action'.

  Sh9.2b: Detectives target junior staff Who will take the blame?

   
 14. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Over Ardhi: mie naona Wakenya wasio na ardhi wapewe tu Bure- kwa Mama Ngina sii mzee na tajiri tayari?

  Ndo maana Nyerere alisema Wakenya hawana ubinadamu: maana I billion Pounds ni kama shilingi biliioni 1500! Yaani EPA 14! Na hii ni kwa mtu mmoja!

  Yet watu wankufa njaa Kibera na Northen Kenya!
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  duu!! EPA 14? Haya ya Kenya makubwa, ya kwetu cha mtoto!

  RA upo???
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  jamani mimi katika watu wote EAST AFRICA hakuna ambaye anayeniacha bumbuwazi akma huyu JOSHUA KULEI

  Huyu jamaa alikuwa ni nyapara tuuu wa jela lakini alikuwa and still is a loyal friend to BABA MOI...ambaye mpaka leo haijulikani alivutiwa nini na huyu mtu asiyejua English, Kiswahili na hicho kikalenjin chake unaambiwa hakieleweki

  the bottom line ana mdogo wake yuko New York na jamaa ana ofisi inaoverlook Central park na ameretain the best stock brokers money can buy...achilia mbali hao watu wa wealth management kule Cayman Islands


  These guys are true ballers when it comes to corruption...
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hawa bwana ukiwaingilia ni kama vile unaingialia biashara za CROWN lakini vile vile lazima uelewe walianzaje anzaje mpaka leo unakuta wanweza kuiambia serikali yoyote iliyotawaliwa na BRITISH cha kufanya na wakafanyiwa

  Huwezi kuwazungumzia hawa jamaa bila kumkuta BILLIONAIRE Edmond Safra, HUWEZI KUZUNGUMZIA crown agents bila kuwazungumzia organisations zifuatazo:

  Prince of Wales Business Leaders Forum

  Aga Khan Foundation


  School of Oriental and and African Studies(the best university in the world....sababu nitawapa baadae lakini its far far ahead of Oxford and Cambridge,Harvard,MIT,Yale etc)

  Christian Aid

  Barclays Bank(sina sababu ya kuelezea saana hii in the wake or RADAR SCANDAL)

  Standard and Chartered Bank(Need i say more?)


  Unilever, (hawa ni major agricultural products cartel. Like Shell Oil, the company is Anglo-Dutch na connections zaidi zinaweza kuwafanya watu kadhaa serikalini kufadhaika kwa sababu ambazo mnazijua)

  Tate and Lyle, (Hawa ndio Britain's leading sugar cartel, ambao wana close corporate links American firm inayoitwa Archer Daniels Midland.

  Sasa hawa Tate and Lyle and ADM walishawahi kuwa under investigation
  U.S. Department of Justice for illegal monopoly practices na nakumbuka matop kadhaa wa ADM walikuwa indicted-connection na Tanzania? Tazama Ilovo walivyoshinda kumonopolise mashamba ya miwa

  Securicor plc...nadhani mnawajuwa hawa


  Sasa leo TUKURU wanataka kuinvestigate UFISADI sidhani kama watafika mbali kwani haiwezekani na kila kitu kimejikita ile mbaya saa zingine bora tukatazame YANGA wanavyocheza na kurudi majumbani mwetu
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  May 11, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hawa watu ni matajiri lakini hawaridhiki nd'o maana hadi leo
  wanawaibia watu tu.Kama usemavyo as a show of good token
  wangewapa hio ardhi bure.Hebu fikiria umewaibia ardhi kisha
  unarudi kuwauzia the same land you stole from them.Kweli hawana
  soni!
   
 19. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #19
  May 11, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Shukran kwa data GT.
  Naona Aga Khan na Standard Chartered pia wamo sio?
  Kazi kweli kweli.
   
 20. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  halafu kuna watu wansema kuwa ohhh tutakula sahani moja na mafisadi

  THUBUTU!!
   
Loading...