Expiry date ya wanawake!!!

Kwa uzoefu gani wa maisha unakuwa nao at 28 hadi uone sasa umefika? at that age unakuwa umepitia mangapi hadi uone imetoshea? at 28 unakuwa kweli umekwisha jua raha ya kuzaa,ukalea ,mtoto akakuita mama/baba akakua,ukafurahia graduation yake,ukafurahia harusi yake,akakuletea kajuukuu ukakakumbatia ukakaangalia sura machozi yakakulenga maana kanakukumbusha mwanao siku ya kwanza mlipotoka maternity,at 28 ushapitia yote haya? At 28 how many joys and sorrows unakuwa umepitia maishani mwako? Au kwenda runway,maisha club,bilicanas na mbalamwezi ndo ku enjoy maisha? Think about it,to be choka mbaya au not choka mbaya is just an attitude of mind na wala sio umri,you can be very choka mbaya at 25 and be at the maximum enjoyment at 80,it is all about attitude!
 
20 - 28??? Umemaliza hata kusoma jamani? Hao choka mbaya uliowaona watakuwa wamechoshwa na mambo mengne ila sio umri..
 
20 - 28??? Umemaliza hata kusoma jamani? Hao choka mbaya uliowaona watakuwa wamechoshwa na mambo mengne ila sio umri..

Kusoma ni sehemu ya maisha. Ninachomaanisha ni kuwa ukiangalia mwanaume na mwanamke wa umri sawa, at 28 mwanaume ndo anaanza kuenjoy maisha wakati mwanamke ndo anaanza kupigwa na majukumu ya kaisha...
 
Mimi kwanza nisipopata mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 32 naona kama nadhurumika kimapenzi mimi nataka mambo ya kuingiza na kusema naumia!!
 
28 choka mbaya? Labda u specify ni katika area gan? Kwa taarifa yako mwanamke huwa anachoka psychological btn 25 mpaka 30 na kuanzia 31 anaanza kushine upyaaa rudi tena kafanye research
 
Back
Top Bottom