Expire date ya ndoa!

Degelingi

Member
Apr 14, 2011
42
0
Kuna mzee mmoja amedai kuwa amechoshwa na tabia ya mke wake ya kudekeza watoto mpaka wanataka kuharibika. Amesema anakelwa na mengi toka kwa wife wake hadi kuna siku aliamua kuchukua cheti cha ndoa na kuangalia kama kina expire date ! hivi inawezekana kuweka exp date kwenye ndoa?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom