Experts Hint on Why Tanzania Is Wary of China Merchant’s Bid on Bagamoyo Port

I find difficult terms demanded by China, I concur halting the process to avoid long term economic snares. Condition that no any other port should be developed for 33 years or complete control and possession of the land including total tax control within the port, translate to the government not owning or benefiting from the port operations which is contrary to the rationale for having such a facility.
 
Ndiyo huwa nabakia najiuliza!
Hii mikataba ya kiMangungo inawazibaje macho waheshimiwa wabunge wetu wasomi, kushupaza mishipa ya shingo kutetea hii mikataba ya kikoloni mchana kweupe bila ya soni?

Serikali imegundua ubaya wa mkataba wa kishenzi na kuamuru usubirishwe hadi hapo masharti yatakapowekwa sawa na kukaa katika sura ya kunufaisha taifa, Bunge limeripuka kupinga kwa nguvu kubwa na kudai mkataba huo uendelezwe!

Leo hadi spika kapaza sauti kushadadia mkataba huo wa kidhalilishaji!
Waafrika tuna matatizo gani lakini?
 
Back
Top Bottom