Experience=skills, find a talent to master and work hard on it.

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
923
1,000
Experience ni kile unachopata baada ya kukosa kile unachotaka.

Skills ni kile unachofanya kwa ufanisi bila kuwa na errors nyingi. So popote unapoenda wakakuomba uzoefu means wanataka ujuzi wako utaofanikisha kufanya kitu kwa ufasaha bila kuwa na makosa mengi.

Mfano umeitwa kwa job wakasema wanataka mtu mwenye uzoefu wa miaka miwili etc means wanataka ujuzi wako ili uweze kufanikisha shughuli zao.

Vyeti mbwembwe tu sometimes coz vyeti havikupi ujuzi, so tafuta talent yako then work hard on it mpaka ujuzi uongezeke maana usipofanya hivyo mwingine atafanyia kazi kwa bidii na kufanya vizuri na kwa ubora zaidi.

NB: Hii ni karne ya teknolojia haiitaji vyeti vyako bali ujuzi wako, vyeti vinakupa credit ukiwa na ujuzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom