Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,599
- 6,669
Wakuu,
Nipo jijini Dar na ninazo gari 3 za Nissan lkn mara nyingi mafundi ninaowapata wananitia wazimu tu.
Nahitaji fundi mzuri asiye mbabaishaji anayeweza kurekebisha kasoro yoyote ktk Nissan Murano, Nissan Safari na Nissan Teana.
Aidha, kama akiwa na uzoefu wa BMW au akiwa na network yake ambako naweza pata fundi mzuri wa BMW itarahisisha maisha.