Expansion of The Great North Road

Sinister

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
1,529
1,576
https://plus.google.com/share?url=h...d-for-expansion-of-great-north-road-in-kenya/
https://www.jamiiforums.com/whatsap...d-for-expansion-of-great-north-road-in-kenya/
https://www.linkedin.com/shareArtic...ed+for+expansion+of+Great+North+Road+in+Kenya
US $230m approved for expansion of Great North Road in Kenya

US $230m has been approved by the African Development Bank Group for the expansion of Great North Road in Kenya set to link major economic hubs in Kenya. The project is part of broader government efforts to improve the country’s infrastructure, including the construction of 1,304 km of new road.

Great North Road
The road project involves converting the 84km Kenol–Sagana–Marua Road in central and eastern Kenya from a two-way single carriageway into a dual bypass and is due for completion in 2025.

The new road will enhance traffic flow between the port city of Mombasa and major centres like Nairobi. It will also ease transport between Nairobi and the Mount Kenya region; and ultimately Ethiopia.
The overall cost of the project will be US $282m out of which the 69% will be financed by the Bank Group, while 12% will come from the Africa Growing Together Fund, set up by the Bank and the People’s Bank of China in 2014 and the remaining 19% will be financed by the Kenyan government.
The current Kenol–Sagana–Marua Road is situated along the Great North Road, which forms part of the 800km stretch between Nairobi and Moyale and runs across the five counties of Muranga, Kirinyaga, Machakos, Embu and Nyeri.
Kenol–Sagana–Marua Road is also part of the Trans-Africa Highway, commonly known as the Cape to Cairo route. Approximately, 1.15 million people will benefit from the upgraded highway.
“Building a 21st century road must also take into account climate change, which often leads to road runoff, flooding and erosion. In order to counter these phenomena, trees will be planted in the surrounding area,” said AfDB in a statement.
 
Kumbe mpaka leo huko bado?

Sisi tupo kwenye ushoroba wa magharibi {western corridor} unatoka South Sudan mpaka South Africa

Bado JPM anazidi kukata utepe tu kuzindua hundreds of kilometres na kuweka mawe ya msingi week inakatika sasa

Leo yupo hapa👇👇👇👇
EGf6FsVWkAEl3H9.jpeg
EGf6Fr6X0AE7MOc.jpeg
EGf6FsfWsAAMy5L.jpeg
EGf6FsIXYAAQfRi.jpeg
 
Na bado tunazidi kwenda mbali zaidi

Suala la barabara mpo bado sana, nililishwa vumbi eneo fulani Manyoni ukielekea Tabora kilomita nyingi sana vumbi tupu hamna lami hadi nikadhani niko jangwani. Itawachukua muda mrefu kabla kufikia Kenya kwenye mambo ya barabara. Sijui ktu gani kiliwachelewesha hivi, ila nadahni ni uvivu uliosababishwa na sera za kijamaa maana mpaka leo hamjaweza kujinusuru.
 
Hahahaa MK254 yaani vikilometa vichache tuu pale ndo unaliiia!! Vp mzee ulikua unafuata binti wa Kinyamwezi nini uko?
 
Hahaha na vimaneno vyako utafikiri ndio inabadili uhalisia, we ongea tu mdomo mali yako ila barabara hazijengwi na midomo

Halafu kila mradi ni Central Kenya, miradi yote ya mikopo ya matrilioni kuanzia ule wa trump, macron, wa wachina, huu yote hiyo ni Nairobi tu, mna hasara
 
Hahahaa MK254 yaani vikilometa vichache tuu pale ndo unaliiia!! Vp mzee ulikua unafuata binti wa Kinyamwezi nini uko?

Sikutegemea vumbi kilomita nyingi hivyo tena maeneo wanakoishi watu, bora hata iwe maporini.
Mabinti wa Kinyamwezi wazuri sana tena heshima usipime...
 
Hahaha na vimaneno vyako utafikiri ndio inabadili uhalisia, we ongea tu mdomo mali yako ila barabara hazijengwi na midomo

Halafu kila mradi ni Central Kenya, miradi yote ya mikopo ya matrilioni kuanzia ule wa trump, macron, wa wachina, huu yote hiyo ni Nairobi tu, mna hasara

I thought mlisema kila mradi ni Nairobi? Sasa umebadilisha?

Unafaa ujue, Central Kenya ndio imekaribiana na Nairobi. Ili kujenga barabara kutoka Nairobi hadi maeneo mengine ya nchi, kuna uwezekano mkubwa utapitia central.
 
Kwani hata huu si mradi wa Nairobi?
 
Tanzania inajengwa zaidi ya 100km

Na hizo picha unaleta ni za nini? 😂 😂

Also, this one is just one of several. It is 84km.
There is also Nairobi - Nakuru dual carriage. Construction starts in December.
Dongo Kundu, Ngong road. And several other projects spread out elsewhere.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom