Jamiix JF-Expert Member Mar 27, 2012 936 659 Jun 3, 2016 #1 Naomba kujuzwa ni sahihi bank hii kutumia namba za Kenya katika branch zao zote kama inavyoonekana kwenye website yao?
Naomba kujuzwa ni sahihi bank hii kutumia namba za Kenya katika branch zao zote kama inavyoonekana kwenye website yao?
R Richard benson Member Jun 2, 2016 36 10 Jun 3, 2016 #2 Hii Bank ni kajipu ka muda mrefu. Hata ATM zao wanatengenezea Dubai hivyo utasubiri almost 2 weeks to 1 month.
Hii Bank ni kajipu ka muda mrefu. Hata ATM zao wanatengenezea Dubai hivyo utasubiri almost 2 weeks to 1 month.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,034 Jun 3, 2016 #3 Tusubiri watu wa TTCL au TCRA watuambie