Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nasikia gari lisizidi miaka kumi. Lakini kwa nini ununue gari la muda mrefu kiasi hicho kama vile wanunua trekta?samahani wadau naomba kuuliza hivi ili kupata exemption TRA ya magari ni lazima gari unaloombea liwe la mwaka 2002 na kuendelea, naomba msaada jamani kwani kuna utata mwingi kwa watu ninaowauliza na ni kodi gani ambazo unasamehewa naomba msaada jamani