Executive Outcomes, its offshoots, & the Scramble 4 Our Resources | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Executive Outcomes, its offshoots, & the Scramble 4 Our Resources

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 7, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Well.. we need to talk about these people and what we gonna do about them and their political puppets in the former Mkapa's administration. Kwa sababu sasa wameokoka na kuwa wafanyabiashara wazuri tuwaachie wachimbe na mafuta baada ya kuchota dhahabu yetu? Kwa vile nia yao nzuri ya kutusaidia kuchota resources zetu tuwaache na kuwagawia maeneo mengi zaidi ili waendelee kututendea wema kama ule unaofanywa na makampuni makubwa ya uchimbaji dhahabu?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  If we had a govt for the ppl, working for the ppl. Tungekusanya ushahidi na kubring these puppets to book halafu hao EO tungewafungulia pia mashtaka kwa wizi, utapeli na ujasusi hapa hapa nchini na hiyo heritage ifukuzwe na ikiwezekana kutaifishwa. Lakini tukumbuke kwamba hili ni genge la kimataifa linalohusiana na serikali nyingi tu................ Na je ss tupo tayari kudeal na BM? Kuna vigogo wangapi ktk serikali ya SA ya sasa na iliyopita wamehusika? Je wanasiasa kule kwa Bibi hawatakuwa na mkono tukiamua kuchukua maamuzi mazito on the intl platform?

  Na all in all serikali hii ya JK ipo tayari and willing kudeal na jambo zito kama hili kama hata issue za wizi wa vijihalmashauri vya wilaya hawana uwezo wa kudeal nazo.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  lakini wakipata mafuta si ndiyo itakuwa jambo zuri kwa taifa?
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  We would have seen it in Angola, Nigeria or Equitorial Guinea, Gabon and the list goes on............ Kupata kwao mafuta ndio kutatufanya tusijue hata la kuwafanya. Imagine The French govt pamoja na ukubwa na umakini wake lakini wameifanya nini elf waliyothibitisha kabisa kwamba imekuwa ikihonga viongozi Gabon na Angola. BP as well imefanya shughuli chafu sana Angola and the brits knows it lakini kimefanyika nini? And now comes my motherland, do we even hve leaders with balls hata wa kukaa tu na wawakilishi wa hawa jmaa in tha boardroom!!!!!!!

  Na kwa mwendo huu tunaoenda watz makampuni haya yakiona interest zao zinatishiwa wako tayari hata kuinjinia vita......... And we shouldn't count ourselves the smartest in comparison to other countries in Africa zilizowahi kutumbukia kwenye hiyo messy.

  ALL IN ALL NAZIDI KUMKUMBALI JULIUS KAMBARAGE NYERERE. HAKUWAPA NAFASI KABISA HAWA MATAPELI KUCHEZA KWENYE TERITORY YAKE
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hold on.. hivi kuna mafisadi wa kizungu? Kwa muda mrefu naona watawala wetu na watumishi wengi wanapokutana na wazungu wanakuwa kama wamepigwa ganzi ya aina fulani hivi; wanaamini kuwa wazungu wote wanaokuja nchini kama wawekezaji au washauri wa mambo mbalimbali wanakuja na mioyo misafi na nia njema.

  Sidhani kama kuna mtu serikalini anayeshuku wazungu kwa ufisadi kwa sababu kuna kaimani ka kijinga kuwa wazungu wote ni waadilifu na hivyo wanapokuja na mapendekezo yao ya uwekezaji yote imejaa mambo mema kwa taifa letu.

  Matokeo yake huwa hatuelewi kwanini licha ya kuwa na marafiki wengi wa kizungu bado tunaendelea kutukuza umaskini wetu!
   
 6. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  MWacheni Mzee apumzike kwa Amani...

  Mnatumia nguvu zenu bure..kama watawala hawataki sasa mtawaamulia?
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  hili linabidi liwe swali la wiki kwa kweli.
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  sasa mwenye akili naamini atamake his own connections:

  [​IMG]

  +

  [​IMG]


  +

  [​IMG]

  +

  [​IMG]


  +

  [​IMG]

  +

  [​IMG]

  +

  [​IMG]


  +

  [​IMG]

  +

  [​IMG]
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  GT.. irudishe ile thread yako juu ya Crown Agents..
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ngoja niitafute
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
 12. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  kwa kweli kama kuongelea haya mambo ya ufisadi, yameongelewa vya kutosha. serikali hii haina mpango wowote wa kushughulikia. hawataki kabisa. hapa ni kuendelea kufanya tafiti mbalimbali ili kuona ni njia gani ya kufanya ku-push umma na serikali na hatimaye haki ya wanyonge ipatikane
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Bump......
   
 14. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  If you wanna know more about these guys, here is a great read.

  [​IMG]

  Last year when we went to the Comoros, I think I asked what if one day the tables turned on us. I haven't read you report MKJJ, am about to download it, but am pretty sure the impression is, it is very 'cheap' to buy African instability knowing how much one can profit from it. In theory, any one can buy an African country, so long you offer incentives.
   
 15. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Kama sikosei hawa EO pia wanaitwa Sandline International, baada ya South Africa kutengeneza sheria inayowazuia wa-South Afrika Kushiriki vita vya kimamluki.

  EO ni web kubwa sana na inajumuisha wakuu wa nchi karibu zote za Kiafrika.

  Kibaya zaidi ni kwamba mtu yoyote aliewahi kuwa mwanajeshi katika nchi hizi anaweza kupata kazi EO kulingana na uzoefu wa kivita hasa vita vya msituni, na wanajeshi wa Angola kwa kuanzia ni wengi humo.

  Sasa uhusiano wa vyombo hivi na viongozi wa nchi za Afrika ni kwamba malighafi zote kuanzia gesi, mafuta, madini zinazochimbwa zinalindwa na pia kufanya biashara haramu ya silaha ambayo hao watu wachache kutoka Afrika ndio wanafaidi.
   
 16. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee wazungu si umewaona wakituibia kwenye ATM zetu? viongozi wetu ndo wale wanojihita wazungu weusi, ni wezi tu na kukosa uzalendo.Nyeree alisema kaburu ni kaburu tu.hawa siyo waafrica bali ni walowezi, tena wakoloni. Ili swala la EO ni hatari mno. tungekuwa na usalama wa taifa wazalendo hii ni kazi yao.hawa watu watatingisha uhuru na usalama wa nchi kwasababu yao ni kunyonya rasilimali ya nchi. Tukibaki maskini iko siku wananchi watakiondoa CCM madarakani kwasababu ndo wanagawana nao rasilimali ya nchi. Tutamweka kiongozi mpya lakini kwa ahadi ya kuwaondoa hawa EO. kwahistoria yao ni Vita lazima litaibuka tu.Lakini hatutawaogopa kwa sababu mrengo wa kushoto huko Uchinani, urusi, Iran nk, tutapata nyenzo. Ushauri: usalama wa taifa (siyo serikali maana serikali ni wanasiasa) walopewa jukumu la kulinda rasilimali ya nchi waingilie sasa.Hawa watu wanawatumia wanasiasa ambao utajiri kwao ni muhimu zaidi kuliko tanzania.tayari tumeona walivyotumiwa kupitia MEREMETA awaaminiki. BIla rasilimali, kazi, then chakula hakuna amani.NI ushauri wa BURE tu.
   
 17. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  The British Empire is not yet dead!
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo utajua hii vita dhidi ya ufisadi ni kama kutwanga maji kwenye kinu

  madudu yte haya yanarudi kwa waingereza na kama wao wanasema wanashare values na Saudi Arabia then something is not right
   
 19. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  utaacha kuyajua mambo ya siri vipi bila yakutaja jina wakati trained on the field. tazama ishu ya meremeta ulivyoishushwa kwa dakika chache you seem to throw the punch on the british side or foreign investment which is obvious to any body. kama biashara ilikua ni ya wizi nakulikuwa na kampuni ya nje therefore it simple the company is also dubious je role ya maboss wako vipi? ni kitu ambacho ukoment ata siku au labda sijaona kwani mi bado mgeni humu.

  ps msalimie yule mzee na mkewe waliokuja UK kutoka US
   
 20. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Hivi wakuu,

  Mnajua kwamba vita zinazoendelea sehemu mbalimbali duniani zimekuwa "privatized", yaani zimebinafsishwa.

  Makampuni kama EO na mengine ndio yanatoa askari mamluki ambao wengi wanatoka katika nchi za Afrika na yanasaidia kulinda makampuni mbalimbali ambayo yanajenga upya maeneo ya "exploration".

  Ukisikia maneno kama "special forces" ni hayo majeshi, na malipo yake ni kati ya dola 500 hadi 1500 kwa siku au kuuawa ama kutekwa na ma-"insurgents".
   
Loading...