Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake

Kuteka,kutesa na kuua wakosoaji ,wapinzani au wasiokubaliana nao ni sera ya CCM, mamtu ya ovyo kuliko wakoloni na tangu uhuru hakuna maendeleo yeyote zaidi ya umaskini uliokithiri
Na ukijifanya wewe hayakukuti ujue ni suala LA muda tu
 
we hujui tu kauli zake zilivo mbaya, eti utamnyoa??? president na tena mwanamke? yaani nadhan hao watekaji warudi kwake tena
Wewe ni zumbukuku kunyoa ilivyotumika hapo sio kama ulivyofikiria wewe iyo ni lugha ya kisanaa alafu huyo mama yenu sio mungu yeye ni mtumishi wa umma kwaiyo kukosolewa sio kosa
 
awamu ya tano no wonder imepotea kabla ya muda wake kutamatika... hii si ubinadamu kabisa aisee!!
 
Wewe ni zumbukuku kunyoa ilivyotumika hapo sio kama ulivyofikiria wewe iyo ni lugha ya kisanaa alafu huyo mama yenu sio mungu yeye ni mtumishi wa umma kwaiyo kukosolewa sio kosa
Basi mchukue Mdude Chadema akamnyoe Mama yako mzazi kwanza, ndiyo tutajuwa kunyoa siyo tusi
 
Watu wenye msimamo kama wa Mdude na wenye roho ya ushupavu ya kuamini anachoamini huzaliwa wachache sana hapa duniani. Je ni nani kati yetu angeitwa na Rais wa nchi na akasema "NO" kwa mazingira aliyokuwa nayo Mdude.?
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom