Kwendraaaaaa. 💃Ila tumeupiga mwingi sana KMC wamebahatisha tu, ligi ikirudi tunahakikisha tunabeba ubingwa hakuna wakutuzuia.
Daima mbele
Naona Mtani umejitoa ufahamu kabisaaa. Mana unapokea vichambo badala yetu.Mkuu hii mechi hatukutumia nguvu nakuhakikishia ubingwa tunachukua, siyo Simba wala Azam wakutuzuia sisi kwenye ligi kuu.
Daima mbele
HeheheheheheeeeeeSawa mkuu
Huwezi kubahatisha huku ukiwa umelala,Ila tumeupiga mwingi sana KMC wamebahatisha tu, ligi ikirudi tunahakikisha tunabeba ubingwa hakuna wakutuzuia.
Daima mbele
Wamepapaswa kichwan (mdomon) kunako ikulu na nyumaMpapaso Square
Wamepewa Nota!!!
Yaani Acha tu Mtani. Ila kwa kuwa tulikuwa tunajipima sio mbaya mana tumeshajua mizigo ni kina nani na nani.Nipo mtani nakushuhudia tu, pole kwa kupigwa pembe tatu hahahhahaa
Hahahaaa. Mtani watu wana maneno ambayo waeza cheka badala ya kukasirika.
Ni kwel mtani maana bila hivo huwez jua mizigo ni ipi ndio maana ikaitwa kujipima uwezo ili madhaif yakiwepo urekebisheYaani Acha tu Mtani. Ila kwa kuwa tulikuwa tunajipima sio mbaya mana tumeshajua mizigo ni kina nani na nani.
Mefurahi kukuona Mtani. Kumekucha.
Hahaha kwani wewe hutaki ubingwa?Kwendraaaaaa. 💃