Exclusive: Yanga yachezea kichapo kizito kwa KMC

Mwalimu kashasha hii 3-0 inamaana gani kipindi hiki cha covid

Hii inamaanisha
1. Nawa mikono
2. Vaa barakoa
3. Kaa umbali walau mita 1 hadi 2
 
Nipo mtani nakushuhudia tu, pole kwa kupigwa pembe tatu hahahhahaa
Yaani Acha tu Mtani. Ila kwa kuwa tulikuwa tunajipima sio mbaya mana tumeshajua mizigo ni kina nani na nani.

Mefurahi kukuona Mtani. Kumekucha.
 
Sielewi kwanini Yanga wanapenda sana kucheza na vyura, kocha hawana kwani Mkwasa si kocha wa maana ni wa matopeni tu waliko vyura na ndiyo maana timu yake siku zote jaiwezi kushinda.
 
Dar es salaam Young Africans, timu pekee hapa TIZII unayoweza kuanza kutamka jiji ilipo halafu ukaitaja yenyewe na rythm ikatulia.

Timu hii, iwe mchana iwe usiku , waambie leo mnatakiwa mtwangane na KIGOGO FC utaona shughuli yake.

Kumb 8/3/2020

Walisema wanajambo lao LIKAWAFIKA.
Haya mengine ni mafua tu!
 
Yaani Acha tu Mtani. Ila kwa kuwa tulikuwa tunajipima sio mbaya mana tumeshajua mizigo ni kina nani na nani.

Mefurahi kukuona Mtani. Kumekucha.
Ni kwel mtani maana bila hivo huwez jua mizigo ni ipi ndio maana ikaitwa kujipima uwezo ili madhaif yakiwepo urekebishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom