Mkuu haya ndo mambo..
Wanasema ni 'mwaka wa shetani'. Mambo mengi yametokea hii 2007. Kuja kuisha tutakuwa na orodha ndefu sana ya matukio ya kusikitisha, kushangaza, kutisha na hata kutukumbusha kuwa 2007 ulikuwa mwaka wa kipekee.
Bravo JF
aaaahhhh! kumbe, sasa napata jibu kwanini gharama ya umeme uko juu...
Nathani na hii tunahitaji kuichambua..
Hahaha, watu mnanifurahisha. Ina maana mshaisoma yote hii kitu? Mbona wengine huwa wanadondoka sahihi mambo flani bila kuumiza vichwa?