Exclusive Report ya GENTAMYCINE juu ya kilichotokea majuzi nchini Zimbabwe

Nilitaka nishangae manake Zitto Senior mwenyewe ana akili kubwa kuliko hizo nyepesi za Kwako.
Mkuu si ujibu hoja kwanini unapotosha kuwa museveni anakubalika kuliko besigye unatumia basis gani kusema hayo?? Ilihali general tinyefunzs alidefect baada ya kumwaga mboga jinsi walivyoiba kura chaguzi 2 mfululizo za besigye!!! Hata msemaji wa Ikulu tamale mirundi alimwaga mboga kuhusu wizi wa kura na alikimbia nchi kabla ya uchaguzi

Sasa tukuamini wewe au generali sejjusa??
 
Hilo la kwamba kwa Afrika nzima kwa sasa nchi pekee inayoongoza kwa Ujasusi wa ujumla wake ni Zimbabwe nakubaliana nawe kwa 100% kwani hata ukiwa pale JNIA, Entebee Airport na Kanombe Airport utakutana na ' Njemba ' nyingi sana zikienda kwa ' Mafunzo Maalum ' ya Ujasusi wa miezi kati ya 3 hadi 6 huko Zimbabwe na wakirudi huwa wanakuwa ' nondo / vizuri ' ila mbaya. Kwa kilichotoke nchini Zimbabwe ingekuwa ni nchi ambayo haiko vizuri Kiusalama / Kijasusi / Kinjangu basi leo hii tungekuwa tunasema mengine juu ya Zimbabwe ila wako imara mno katika hiyo Medani Mkuu.
We jamaa nmekuona mzushi tu kama hao zimbabwe wana majasusi wazuri kivpi wameshindwa kuona uchumi wao ukihujumiwa na mataifa ya magharibi hadi leo hii pesa yao ikafa kabisa??? Kma wana ujasusi mzuri kivp walishindwa kummaliza tsvangirai when they had a chance kwenye ile ajali ya gari??? Hahaaha we mtutsi ni sheeedah
 
Nilitegemea posts / comments kama hizi kutoka kwa Watu wa mfano wako ambao Vichwani mwao kumejaa Makohozi, Makamasi na Funza tupu.
Kwahiyo ulichomaanisha ni kwamba nchi iingie kwenye taharuki mpaka wawekezaji wakakimbia kwa hofu ya vita eti kisa kumchomoa mwanamke mmoja tu?? Kwani walishindwa kumtundika risasi kazi ikaisha hata bila ya mugabe kuambiwa yaani inaingia akilini kweli unayemuita shujaa eti anakubali kudhalilishwa kuwa kapinduliwa kisa kumlinda SEKRETARI WAKE wa zamani??? Hahhahahahaa hili kaburi linachekesha
 
Back
Top Bottom