Exclusive: Njoolay mrahishie Kikwete kazi; jiuzulu mwenyewe!

Hivi ni lini Bunge litamuhoji Rais ili atoe maelezo ya kina kwa taifa kuhusu uozo wa kutisha uliopo nchini mwetu kwa sasa na unaoendelea kutokea kila kukicha???!!!
Bunge hili hili la Jamuhuri Ya Muungano wa TZ? I don't think so!
 
lakini hawa watu wanataka tuwafanyie kazi zote kweli? tumewaambia kuhusu kuuzwa mbezi Beach wanakubali kuwa kumefanyika makosa.. lakini wanataka kuunda timu kuchunguza; zimeibwa voucha huko wanafanya nini? wanaunda tume kuchunguza; wamejenga majumba ya bilioni mbili na nusu hivi badala ya kuchukua hatua wanaunda tume!!
Kazi za kufichua haya madudu zinafanywa na wapelelezi na mara nyingi sio kazi za raia wa kawaida kuchukua jukumu la kunusanusa yanayojiri kwenye public institutions.
Sasa wapelelezi wenyewe bwana duuh. Ukipata bahati ya kukaa nao karibu kuwasikia wanayofikiri na kutenda, ndo utajua kuwa mambo ni mabaya kuliko tunavyodhani.
Kazi zile ambazo zinafanywa na watu smart duniani kote, TZ zinafanywa kama ni kazi rahisi sana ambazo criteria yake kubwa ni kujulikana tu kwa wakuu na wahusika wa institutions hizo. Nahisi kuna sehemu tumekosea. Tumeingiza failures wengi. watu wasio na uwezo wa kuongeza lolote la maana katika kuijenga TZ. Kazi yao kubwa ni kutumia nafasi walizonazo kupiga deal tu za kuongeza kipato.
Tutafika, ila cha moto tutakiona
 
Juzi bunge lilipitisha sh.19 bilioni kwa ajili ya kilimo ,sasa wabunge walipiga makofi sana na kufanya propaganda ,sasa ukiangalia kiasi cha shilingi 6.8 bilioni kimeibiwa , ni asilimia ngapi ya zilizoongezwa?

Kama Mkuu wa Mkoa amesema kuwa yupo tayari kuwajibika , ni jukumu la JK kumpa ruhusa kama kweli naye ameguswa na wizi huu , ila asipokubali mtu kujiuzulu maana yake ni kuwa anamlinda mtu ambaye ameshakiri kosa lake waziwazi .
 
Hili suala nililipata kijuu juu mwaka jana nikiwa Sumbawanga, sijaamini kwamba limeenda deep kiasi hiki. Kimsingi kwa stori nilizopata, huu 'Wizi Mtupu' wa mbolea ya ruzuku una mizizi mirefu sana, kiasi kwamba kama ni kuwajibisha watendaji basi huenda uongozi mzima wa mkoa wa Rukwa utawajibika.
Kuna bwana mmoja ambaye katajirika ghafla na mbolea hii ya wizi, yeye yuko kijiji cha Matai, ana guest houses kadhaa Matai na Sumbawanga mjini, ana malori kadhaa na mashamba makubwa ya mahindi ambapo kapata vitu vyote hivi 'within no time'. Kwa stori nilizopewa pale ni kwamba naye ni mfaidika wa mbolea hii ya wizi, kwa mgongo wa mkubwa fulani, kwamba mkubwa huyu anamtumia mfanyabiashara huyu kama 'Pen name'. Kijiji cha Matai kiko karibu kabisa na Kongo na Zambia, pamoja na bandari ya Kasanga.
Kuna kiungo cha stori hii natafuta ili tuunganishe, be back later.

Mtaje tuu kuwa ni mwenyekiti wa Halimashauri ndiommiliki wa guest za Matai
 
halafu kuna mpuuzi alidai kuna "usalama wa taifa"..

MMJK, usalama wa taifa huwa wana kazi wakati wa uchaguzi tu. Baada ya awamu ya kwanza, usalama wa taifa wamepoteza muelekeo.

Binafsi nimewahi kusikia mazungumzo ya watu hao somewhere, wanapanga miakakti ya kujenga 2010. "usipojenga sasa, umeliwa":
 
kiukweli kikwete kashindwa kuongoza taifa hili, kisa ila chafu ya ccm ya matumbo kwanza maendeleo baadae, mungu endelea kuwa laani ccm mpaka kieeleweke
 
Yo know what mkuu, haya maswala ya ruzuku ya Mbolea yapo pia Malawi. Na infact mbolea inayouzwa mfuko wa 50kg in Tz around 100,000 TZS, kwa Malawi ni kama 6000TZS. Lakini You will never ever find hiyo mbolea ya Malawi in Tz. Ila sisi tulipoanza tu mambo ya Ruzuku kabla ya Malawi anywayz, mbolea ilikuwa inavushwa usiku na mchana and was one of the hot cake biz by then.

SO WHY? It is all about consequences, Mr Bingu is very serious on the matter and he mean it. Ukikamatwa na mbolea mfukop mmoja unauvusha ni 1yr jail sentence bila kona kona. The same kwa mifuko 100 ni miaka 100 jela. Gari, mkokoteni, pikpiki itakayokamatwa kwa ajili ya kuvusha is seized right away by the govt.

Sisi tumekaa kifisadi fisadi as such hakuna agizo wala utaratibu unaoweza kuendeshwa bila ufisadi..Na hili pendekezo la wahalifu wapelekwe kwenye vyama vyao wakashiughulikiwe huko , Is TZ serious?????????

Safi kwa Malawi Laws!!!!!

Tatizo letu hapa bongo ni undugunization umekithiri kupita maelezo na maelekezo, Ufriendnization, U CCMnization, Viongozi na kundi lililowashika viongozi wenye mamlaka they dont give a DAMN abt Bongo Land and Wananchi wao wana jari masirahi mbele ambayo ni yao. kweli hapo Mpwa wategemea kuna kiongozi(mtu) wa kuwajibika au kuwajibishwa wote ni rotten. Juzi tu bungeni walishindwa tu kupiga VOTE OF NO CONFIDENCE kwa PM sasa wategemea nini kama sio kudanganyana hapa.

Bila kuwaficha Richmond imewafunguwa watu wa mikoani kuwa mafisadi na wamejifunza jinsi ya ku switch money from this Account to another account na huko Mwanza nayo yalijitokeza pia, Kwanini hii inakuwa hivi ni kuwa Serikali ime prove failure haijaonesha makari yake kwa viongozi wa juu which means hata hao viongozi wa juu wamefanya ufisadi kupitia hao viongozi wa chini sasa mwategemea nani amuwajibishe nani na nani aachiwe??

Kipindi cha Mwalimu JK walikuwa wanamgwaya kwani ukikutwa ni unatolewa Mwanza unapelekwa Ujiji ambako source ya pesa haipo ni wewe na mshahara tuuu utathubutu kufanya mavyongo?? tatizo letu ukikosea una kimbizwa Dar ati wizarani au mapolice ati warudisha makao makuu, ukiona hivyo mjue huko mikoani kuana pesa ambazo hazifanyii mabiresho ya shughuri za kiserikali ni wao wanagawana na makao makuu.

 
Taarifa ya Njoolay imeeleza kuwa, uchunguzi wa tume umebaini mambo mengine kadhaa ikiwa ni pamoja na mkoa, wilaya na vijiji kutokuwa makini kusimamia na kufuatilia kwa karibu usambazaji wa ruzuku ya pembejeo ya kilimo kwa wakulima.

Hii si ndiyo silika ya Viongozi na Serikali ya Tanzania kitu kilichotuletea uozo wote na Ufisadi?

This is where the problem lies with Tanzania!
 
Najaribu kufikiri iwapo utapeli huu ungekuwa umefanyika nchini China...Ooh,ingekuwa habari nyingine kabisa saa hizi.Ila kwakuwa ni bongo yetu hii...Wizi huo utakuwa sehemu ya watu kupeana 'shavu'..You know how?Tume itaundwa na watalipwa vizuri sana,ksha ripoti yao wataikabidhi kwa mbwembwe kibao kisha itawekwa kabatini itulie kwani watz watakuwa walshasahau ktambo kuhusu hili.Once Ngabu said,ndivyo tulivyo!
 
Sasa wao wale wapi? Ra, jk na el wamekula wamewabakishia kiduchu, tena baada ya kusaza na kurudisha serikalini.
Ggggrrr!
 
Najaribu kufikiri iwapo utapeli huu ungekuwa umefanyika nchini China...Ooh,ingekuwa habari nyingine kabisa saa hizi.Ila kwakuwa ni bongo yetu hii...Wizi huo utakuwa sehemu ya watu kupeana 'shavu'..You know how?Tume itaundwa na watalipwa vizuri sana,ksha ripoti yao wataikabidhi kwa mbwembwe kibao kisha itawekwa kabatini itulie kwani watz watakuwa walshasahau ktambo kuhusu hili.Once Ngabu said,ndivyo tulivyo!

Mkuu acha kabisa. Ingekuwa china ungekuta ndugu zao washazika siku nyingi.
Nyongelea mbali!
 
MM Inamaana hujui tabia za Muungwana,sisi ndo tunataka Muungwana ajiulzulu bwana ahaa
 
..wabunge wa majimbo ya mkoa wa Rukwa walikuwa wapi wakati wizi wote huo unatokea?
 
So, MM, you still expect miracles from these guys?


Not really.. just the same I don't expect miracles from the opposition. But, I believe that given time and proper push there will be a group of people either in the ruling part or the opposition who will hear the call of hope and they will stand up and be counted.

So far, we have seen that there is no possibility of reconciliation within the ruling party. Hawa jamaa hawawezi kupatana. Zamani ingekuwa rahisi na hata ile nguvu ambayo watu walidhani EL anayo kwa kweli imepunguzwa mno kiasi kwamba hawezi tena kupata anachotaka.

At the end of the day, naamini wataachana tu.

Hata hivyo, I have an extreme level of confidence that this year we the people will set the agenda, we will decide what we want, how we want it and who gonna lead us into achieving the desires of our hearts.
 
Hata hivyo, I have an extreme level of confidence that this year we the people will set the agenda, we will decide what we want, how we want it and who gonna lead us into achieving the desires of our hearts.

Hope this turns out to be true. I am in a very awkward position, sometimes optimistic, and sometimes (actually most of the time) very pessimistic about the direction these guys are taking our country. I hope these are just worries!!
 
Back
Top Bottom