Exclusive: Mkubwa Fella asema Yeye ndiyo humbebea Hirizi na Matunguri Diamond Stejini

Huyo jamaa kulikua na tamasha leaders club lilikua organized na THT/clouds ..mvua na wingu zito likatanda mchana kweupe...RG akamuita akiwa yuko frustrated akamuuliza 'show itaharibika na mvua inashuka..we unafanya kazi gani hapa' jamaa (Fella) akaondoka chemba aliporudi wingu lilikatika na show ikapigwa..(Nilikuwepo) we jiulize MTU hata caption zake za insta kuandika hajui eti nae anatunga 'by-laws' za wakazi wa TMk..
nimecheka ajabu duh
 
hahahaa doh! kweli maana huwa najiuliza sana huyu jamaa kazi yake ni nini hasa?!
 
Back
Top Bottom