Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,828
ahahahaaa kuna watu wanaudhi sana .ukiandika kitu eti wewe ni haterBahati nzuri sana ' Moto ' wangu wanaujua vilivyo. Nawasubiri waje na wahakikishe wamejipanga vizuri kwani GENTAMYCINE huwa ' sibipiwi ' na ' simcheleweshi ' Popoma yoyote yule anayejaa mwenyewe katika ' frame '.