Exclusive: Legal ' Guru ' asema ilitakiwa hadi hivi sasa wale Askari Polisi wote walioshangilia na Makonda wawe Jela!

Tofauti kati ya polisi na Green guard ni moja tu ukiacha uniforms,polisi wanabeba silaha na kuzitumia hadharani wakati GG wanabeba silaha nna kuzitumia kwa kificho.
 
Usicheze na second wife .... Almaarufu mke mdgo ana nguvu sana mkuu wangu gentamycine ...

Pyruvate will never be acetyl coA unless under the effect of nadph2
Its when we get energy under hanslet kreb cycle

Mwenye akili ameelewa pyruvate ni nan na naph2 ni nan na atp znazotumika ni zipi ....

Adenosine triphosaphate? Or at standard condition of temperature and pressure?
 
Kwasababu za Kimaadili na Kulinda Usalama na Uhai wake sitoweza kumtaja ila leo niliamua tu Kujikita kutaka kujua zaidi Katiba ya Nchi inasemaje hasa juu ya Majukumu ya Askari wa Jeshi la Polisi hasa Kiutendaji ndipo nikaamua kumfuata huyu Bingwa wa Sheria ( Legal Guru ) ili anichambulie.

Yaani kabla hata sijaenda mbali nilipoanza tu Kugusia swala la Askari wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam juzi Kujivinjari / Kuserebuka vile hadharani tena wakiwa na Sare ( Uniforms ) zao huyu Mzee ( Nguli wa Sheria ) aliniambia bila kuzunguka kwamba kwa Katiba ya nchi wale Polisi hivi sasa walipashwa / walitakiwa wawe Jela wote.

Alinipiga swali moja tu ambalo Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka GENTAMYCINE nilibaki nabung'aa / nashangaa tu hata sikujua kumjibu ambapo aliniuliza namnukuu...." Kijana hivi Kazi za Kipolisi ni za Kuteuliwa au ni Ajira rasmi? Yule waliyekuwa wakishangilia nae ameajiriwa katika ile nafasi au ameteuliwa? Ingekuwa ni nchi zingine kile Kitendo kilichofanyika lingekuwa ni Doa moja Kubwa sana katika Mhimili wa Executive na nawashangaa sana hawa Wanasheria wetu tuliowakabidhi mikoba baada ya Sisi Wazee wao Kustaafu wamenyamaza na Kuuachia Upuuzi huu upite hivi hivi ".

Jamani nisiwaficheni Mimi GENTAMYCINE na mambo ya Kisheria ni mbalimbali na kuanzia jana nimekoma kwenda Kuwahoji ' Legal Gurus ' na sijui ni Kiherehere gani kilinikumba nikamgusia huyu Mzee hili jambo hatimaye na Yeye sasa kuanza Kutiririka na Kuserereka ' Kisheria ' kabisa hali ambayo muda wote ilinifanya sasa nitulie ili darasa liniingie vizuri.

Najua hata hapa JamiiForums kuna ' Legal Gurus ' wengi sana tena ' waliotukuka ' kabisa hivyo hebu na Wao basi nawaomba wajitokeza Kunifundisha Mimi Ngumbaru ( Layman ) wa Masuala haya ya Sheria na Katiba ili nijue nina haki ya kweli ya Kuwashutumu wale Polisi au badala yake kumbe nina haki ya Kuwapongeza kwa Kitendo kile.

Shikamoo ' Legal Guru ' Mstaafu!

Nawasilisha.
Sijawahi kushindwa kukuelewa, na siku zote aijutii kukufahamu. You are always not only straight but indeed "erect"!
 
Malkia alimwambia Nyerere "Huna wasomi, huwezi kuongoza nchi" akabisha!!
Phd zote feki!
Madaktari wanapasua vichwa badala ya miguu,
Wasimamizi wa uchaguzi wanamtangaza aliyeshindwa kuwa ndio ameahinda!!

Anayechukiwa ndio anatangazwa kuwa eti anapendwa sanaaa!!

SHIKAMOO MALKIA WA WAINGLISH
hahaaa " ngoja na mimi nitoe heshima kwa malkia ". SHIKAMOO MALKIA
 
Mwambie huyo legal guru atuorodheshee kifungu cha sheria kilichovunjwa
 
Usicheze na second wife .... Almaarufu mke mdgo ana nguvu sana mkuu wangu gentamycine ...

Pyruvate will never be acetyl coA unless under the effect of nadph2
Its when we get energy under hanslet kreb cycle

Mwenye akili ameelewa pyruvate ni nan na naph2 ni nan na atp znazotumika ni zipi ....
Synthesis of fructose-1,6-bisphosphate (Fru-1,6-P2) by phosphofructo-1-kinase (PFK) consumes a second ATP and is the committed step for glycolysis.
 
Kwa mujibu wa sheria na maadili yuko sawa, Ila kwa mujibu wa udikteta amekosea mnoo
Kumbe maadili yake ya kazi yanamruhusu?
Screenshot_20180917-205548.jpg
 
Kwasababu za Kimaadili na Kulinda Usalama na Uhai wake sitoweza kumtaja ila leo niliamua tu Kujikita kutaka kujua zaidi Katiba ya Nchi inasemaje hasa juu ya Majukumu ya Askari wa Jeshi la Polisi hasa Kiutendaji ndipo nikaamua kumfuata huyu Bingwa wa Sheria ( Legal Guru ) ili anichambulie.

Yaani kabla hata sijaenda mbali nilipoanza tu Kugusia swala la Askari wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam juzi Kujivinjari / Kuserebuka vile hadharani tena wakiwa na Sare ( Uniforms ) zao huyu Mzee ( Nguli wa Sheria ) aliniambia bila kuzunguka kwamba kwa Katiba ya nchi wale Polisi hivi sasa walipashwa / walitakiwa wawe Jela wote.

Alinipiga swali moja tu ambalo Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka GENTAMYCINE nilibaki nabung'aa / nashangaa tu hata sikujua kumjibu ambapo aliniuliza namnukuu...." Kijana hivi Kazi za Kipolisi ni za Kuteuliwa au ni Ajira rasmi? Yule waliyekuwa wakishangilia nae ameajiriwa katika ile nafasi au ameteuliwa? Ingekuwa ni nchi zingine kile Kitendo kilichofanyika lingekuwa ni Doa moja Kubwa sana katika Mhimili wa Executive na nawashangaa sana hawa Wanasheria wetu tuliowakabidhi mikoba baada ya Sisi Wazee wao Kustaafu wamenyamaza na Kuuachia Upuuzi huu upite hivi hivi ".

Jamani nisiwaficheni Mimi GENTAMYCINE na mambo ya Kisheria ni mbalimbali na kuanzia jana nimekoma kwenda Kuwahoji ' Legal Gurus ' na sijui ni Kiherehere gani kilinikumba nikamgusia huyu Mzee hili jambo hatimaye na Yeye sasa kuanza Kutiririka na Kuserereka ' Kisheria ' kabisa hali ambayo muda wote ilinifanya sasa nitulie ili darasa liniingie vizuri.

Najua hata hapa JamiiForums kuna ' Legal Gurus ' wengi sana tena ' waliotukuka ' kabisa hivyo hebu na Wao basi nawaomba wajitokeza Kunifundisha Mimi Ngumbaru ( Layman ) wa Masuala haya ya Sheria na Katiba ili nijue nina haki ya kweli ya Kuwashutumu wale Polisi au badala yake kumbe nina haki ya Kuwapongeza kwa Kitendo kile.

Shikamoo ' Legal Guru ' Mstaafu!

Nawasilisha.
Rejea kauli ya RPC Mambosasa aliyotoa kuhusu mshindi kama ilivyosikia kwenye taarifa ya habari ya ITV.
 
Wataalamu wa sheria tuwekeeni evidence hapa ili polisi wetu wajirekebishe,ujue huyu Bashite anataka kufanya Jeshi la polisi kama jeshi lake.
 
Sijawahi kushindwa kukuelewa, na siku zote aijutii kukufahamu. You are always not only straight but indeed "erect"!

Akhsante Mkuu na tupo pamoja. Hata Mimi nakukubali sana kama ambavyo niliwahi kukuambia. Siku zote Israel na Marekani huwa wanaelewana mno kwakuwa wote wanafanana Kimkakati, Kimbinu na hata Kimaisha japo wapo mbali pia Kijiografia.
 
Back
Top Bottom