Exclusive: JK Ndani ya Bilila kwa mapumziko (Huku mafuriko na vifo vikiendelea)

KAWE.jpg

hali halisi dartaja la kawe
 
i am sure unafikiri kwa kutumia masaburi, otherwiz usingeandika comment kama hii.
Kwa hiyo huko Bilila-Serengeti ndo kuna jimbo la JK?
As a president anatakiwa awe biga kwa biga na ishu ya mafuriko, sio kwenda kupumzika! Afterall, anapumzika amefanya nini? Au baada ya kufanya uteuzi wa kitaira wa mabalozi pamoja na NEC?

weye ndio unafikiria kwa hayo madude uliyoyataja umeshindwa kuchuja kama habari hii ni uzushi au kweli.. mtoa mada kasema aliona msafara wake maeneo ya huko na picha alizoletea sio za msafara ... na pia as i know yeye hawezi kumsogelea raisi na kufotoa hizo picha... na isitoshe picha mazingira yake yanaonesha wazi jua kali while hali ya hewa unaijua ilivyo!.. soma nyakati kijana sio watu wote wa kupelekwa pelekwa jamaa kaja na mada ya kizushi ... nukta!


"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯


 
Kakimbia harufu za kinyesi baada ya wanyonge kutapisha vyoo yao baada tu ya mvua kuanza kunyesha.LG ******.
 
jamani huyu game theory 1 ndo yule yule game theory wa siku zote au????????

Haiwezekani akawa ni yeye unless kajisajili upya. Huyu Game theory wa hii thread kajiunga juzijuzi tu............ GT original alikuwa humu toka JF inaanza na tulitoka naye BCS.
 
Amewasili dar ndani ya nusu saa iliyopita. Je wajua jana na juz alikua wapi wewe? Alikua mapumzikoni huko Bilali na hizo picha ni za kweli. But nimeangalia taarifa ya habari hapa Channel 10 wanasema alikua huko mkoani mara kikazi. Haya changanya akili sasa.
 
si sidhani kama ni kweli, hivi yeye hana gut mpaka
afanye jamani, msingizie, tukumbuke naye ni mzazi kama sisi. hawezi fanya hayo kwa sasa.
kama ni kweli tupeni evidence, ila huu ni uzushi
 
Mbona nasikia kakatiza mapumziko, amerejea Dar na mchana wa leo ataongea na wana-Dar? Ratiba yake ilikuwa inaonyesha angerejea Dar kesho kutoka huko alilukokuwa anaponda raha.
 
Kuna watu walikuwa wanabisha kuwa JK hakuwa Serengeti. Nadhani sasa watakuwa wameelewa huyu rais ni kiongozi wa namna gani baada ya taarifa kuwa kakatiza mapumziko yake huko mbugani.
 
Nina uhakika wa zaidi ya asilimia zote unazojua wewe JK alikuwa bilila na ameondole leo, kwa taarifa yako amekatisha hata hii vacation yake, mwenye kutaka kuhakikisha apige simu Kiwanja kidogo cha ndege Seronera ataambiwa JK alikuwa wapi na akifanya nini, kwa kitendo alichokifanya hata sioni haya kusema mwanamke wake wa mbeya tumempokea sisi na kumpeleka bilila,
mnaobisha endeleeni kubisha kwa sababu zenu mzijuazo ninyi....
 
Nina uhakika wa zaidi ya asilimia zote unazojua wewe JK alikuwa bilila na ameondole leo, kwa taarifa yako amekatisha hata hii vacation yake, mwenye kutaka kuhakikisha apige simu Kiwanja kidogo cha ndege Seronera ataambiwa JK alikuwa wapi na akifanya nini, kwa kitendo alichokifanya hata sioni haya kusema mwanamke wake wa mbeya tumempokea sisi na kumpeleka bilila,
mnaobisha endeleeni kubisha kwa sababu zenu mzijuazo ninyi....

wa mbeya ni yupi tena huyo!! Jamaa kweli inabidi asikubali mahakama ya kadhi.....muislam jina huyu!!
 
What a zero-sum game or call it a two-person-zero-sum! Njaa Kaya au kilaza ana bahati ya kutokuwa na ubongo wala aibu. Akifika Dar kwenye mafuriko utaona atakavyocheka cheka utadhani yumo kwenye kitchen party.
 
Back
Top Bottom