EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,384
10,547
Ladies & Gentlemen!!

Kwa mara nyingine tena nawakaribisha katika Interview bab' kubwa.

Topic: Madhara ya urafiki wa kwenye mitandao ya kijamii.(positive and negative impacts)

Wandugu hii topic ni pana sana na inajadilika vizuri.
Naamini hatutaweza kucover kila kitu
Ila kwa kiasi kikubwa tutafanya.

Wageni wetu leo katika interview hii ni watu8 na Heaven on Earth.

Host: mimi mwenyewe.

Naomba members wengine mkae pembeni kidogo,
Msiingilie interview kwa sasa. Muda ukifika ntawakaribisha wote kwa michango yenu.

Karibuni sana!
 
Last edited by a moderator:
here we go....

naomba niwaite guests wangu leo..
nianze na
watu8! mambo vipi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Japo umesema tukae pembeni, hii interview ni tofauti na ile uliyoianzisha uliyosema itaanza saa 11? Mbona wageni ni wale wale Watu8 na Heaven on earth? Na kama ni hiyo kwa nini umeianzishia uzi mwingine wakati watu wanakusubiri kwenye ile nyingine saa 11? Thanks

Kuwa mpole kaka. siku sema kama nitaifanya pale kwenye ule uzi.
 
here we go....

naomba niwaite guests wangu leo..
nianze na
watu8! mambo vipi mkuu?

Samahani kwa kuchelewa kidogo...nipo hapa mkuu

Habari ni njema tu sijui wewe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom