Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,414
10,643
Wana MMU.

nawaletea hii kitu ambayo naamini itakuwa hot sana hapa,

its all about challenges ambazo zinamkuta mtu aingiapo kwenye mahusiano mapya zinazosababishwa na mahusiano ya zamani.

nisiongee mengi kwani niwavute moja kwa moja kwenye mahojiano yetu.

Ndani ya interview tuna watu wawili machachari ndani ya jukwaa letu.

Nambe na shansarie hawa ndiyo wahojiwa wetu leo usiku.

Members wengine nawaomba mkae pembeni kidogo. Mu watch hii interview na mwishoni ntawakaribisha kwa mawili matatu.

Host ni mimi mwenyewe Uran.
Karibuni..
 
Last edited by a moderator:
Nianze kwa kuwakaribisha wageni wangu.

Nambe! mambo vipi?
 
Last edited by a moderator:
Mbona hujatuambia tukae sawa........

halafu huu mda nahisi watu wengi watakuwa hawko macho
 
Nimeshakaribia mkuu...
Nashukuru Mungu tanesco wamerudisha umeme on time....
Haya tuendelee...

oh! nafurahi kusikia hivyo Nambe...

Enhee niambie! Have u ever be inrelationship?
 
Last edited by a moderator:
okay okay.. shansarie! umewahi kuwa kwenye mahusiano?

yap nimekuwa kwenye mahusiano na naelewa sana ukizungumzia past relationship kwangu sijutii sana kuwa na ile past relation kwa sababu kwa wakati ule nilikuwa nampenda bt pengine haikuwa riski yangu so hainisumbui sana kwenye relation ship mpya.
 
Haswa hata sasa niko kwenye relationship......

waoh! thats good sana hope mjadala wetu umelenga mule mule.
sasa hebu niambie unakumbukua ulianza kuwa kwenye mahusiano ukiwa na umri gani?
 
yap nimekuwa kwenye mahusiano na naelewa sana ukizungumzia past relationship kwangu sijutii sana kuwa na ile past relation kwa sababu kwa wakati ule nilikuwa nampenda bt pengine haikuwa riski yangu so hainisumbui sana kwenye relation ship mpya.

c'mon!! shansarie ur coming too fast, by the way! at first ulikuwa na umri gani?
 
waoh! thats good sana hope mjadala wetu umelenga mule mule.
sasa hebu niambie unakumbukua ulianza kuwa kwenye mahusiano ukiwa na umri gani?

Mhh serious relation nilianza nikiwa nna miaka 18 nilikuwa kidato cha tatu...
Ilidumu kwa miaka kama miwili na nusu hivi mpaka kipindi naingia A-level ni ndani ya kidato cha tano relation hiyo ilivunjika baada ya kupoteza mawasiliano
 
serious relation ndio kama ipi? kumbe kuna relationship za kiutani?
 
c'mon!! shansarie ur coming too fast, by the way! at first ulikuwa na umri gani?

nimeenda mbio ee nilianza form 3 bt kwakuwa mama yangu tulikuwa tunamuita kamanda yaani alikuwa mkali kupita kiasi so niliogopa ngono kama jehanam hata kunikiss sikumruhusu aliheshim hilo
 
serious relation ndio kama ipi? kumbe kuna relationship za kiutani?

Hahahaa
Typing error nlimaanisha kusema seriously........
Hata hivyo kabla ya hiyo nliwahi kuwa na relation kabla ya hapo ambazo hata jamaa alikuwa akijaribu kunikiss nampiga kibuti...
Hii nilikuwa serious nayo zaid na akili ilikuwa imekomaa kiasi fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom