uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 7,447
- 10,691
Mambo vipi wanajumuiya ya JF?
Kwa mara nyingine tena niwaalike kwenye interview!!
Leo mgeni ni mmoja tu!
So naomba uchaji uwepo,
Mgeni wetu leo ni lara 1
Mada: Mapenzi Na Pesa..
Naamini kulingana na mada husika tutakuwa na mengi
sana yakuongea,
members wengine tulieni kwa pembeni tu muone mambo,
leo naahidi kuwapa na nyie time kama mtakuwa na maswali
ambayo mimi nitakuwa sijayauliza ila yaendane na Mada!!!
Host: Uran
Karibuni sana.

Last edited by a moderator: