Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Rafiki yako alifanya makosa na akajirekebisha, wewe umebaki ukirudia kwamba amekosea hizo figures, kuwa mpole.Change lazima itokee tu, watu wataumia hiyo haina msalia mtume. Wewe unazani hizo ma3 zitakuwepo miaka 15 ijayo! Wakati huo Dar nzima itakua na BRT na commuter trains maendeleo yana tabia yakuambukiza. Uki ingia twitter wakenya wengi wanalalamika kwanini Dar wameweza ila hawaitaji Jo'burg. Ata SGR ya Tz ikianza kazi na nyinyi mtapata msukumo ku electrify yenu haraka. Kuna faida kuwa na ujirani na mtu ambae ana kimbia ili mkimbizane vizuri. Kingine madriver wa ma3 hawalipwi kama ulivyo sema sijui unatoa wapi hivyo viwango. Mtu anapata kadri anavyo pambana na kuna bad days na akiumwa hapati kitu.