pacificamarine
Member
- Dec 1, 2010
- 68
- 4
Nasafirisha kiasi kikubwa cha US$ kuja hapo Dar ili kukwepa gharama za Western Union (wao wanatugonga 1US$ = Tshs 1,475.00) Mlioko Dar, bei ikoje mtaani leo?
Nenda kwenye website na uangalie. Ila kwa uelewa wangu kama ni USD basi NBC ndio wazuri
Mbona kila kitu kiko wazi. Aangalie websites za mabenki. Mara nyingi wao bei zao huwa nzuri kuliko za madukani. Nikaeleza kama ni USD, kwa uelewa wangu NBC bank ni miongoni mwa mabenki yanayo offer rate nzuri.Jamani, kama unataka kusaidia mtu, mpe data kamili (website ipi etc).
Unajua kwa benki, exchange rates si core business kwahiyo profit motive inaweza isiwe kubwa kama mtaani. Pia risk nyingine ya mtaani ni kupewa fedha fake. Wapo watu wameshapewa fedha fake huko.
Hizo quote unazosema wewe ni average huwezi kuona bid-ask (buying-selling), ni bora uangalie kwenye benki zetu siku hizi wanajitahidi na wapo active. Au njia rahisi nenda kwenye website ya BOT then weka + or - (Tsh70 mpaka 100; bid-ask) utapata idea ya retail exchange rates.Mimi kwa uzoefu, Huwa natumia hii web ni za uhakika ya uhakika 100%. ukienda bongo utakuwa na idea ya bei za mitaani
Currency Converter | OANDA
Tunauelewa mdogo enh! Yaani wewe unatatua tatizo kwa siku moja. Halafu exchange rates za mtaani mara nyingi sio the best. Pia wewe unaelewa nini kwamba anafaham juu ya uwepo wa hizo rates huko BOT? By the way BOT ni indicative kwa wholeselling.Nashawishika kuamini kuwa wote mliochangia hii mada hakuna hata mmoja anayeishi DSM au vingine mna uelewa mdogo wa kujibu maswali. Huyu ndugu kauliza, exchange rate ikoje mtaani hapo DSM? Sasa mambo ya aangalie website, sijui nenda CRDB, siyo jibu. Najua na yeye mambo ya website hayampigi chenga, anajua kuliko hata ninyi mliompa website za BOT.
Bosi ,exchange rate iliyooneshwa hapa Samora Avenue mkabala na Extelecom House jioni hii ni: Buying: 1US$ = Tshs 1,497.13 na selling ni Tshs1,512,40.
Mlioona sehemu nyingine mpeni ili atuletee hizo dollar.isi
Nasafirisha kiasi kikubwa cha US$ kuja hapo Dar ili kukwepa gharama za Western Union (wao wanatugonga 1US$ = Tshs 1,475.00) Mlioko Dar, bei ikoje mtaani leo?
kila kitu utapata!change 1$ to tanzanian shillings