Mbona kama amebeba sandarusi
damnnnnnnnn.....
Hii kitumi nakulaga hii
Mpwa kitu gani hiyo?
hiyo kinywaji hiyo inaitwaga black,tall and mascular
Hahahahaaa don't tell me this is made in Masai mara
inatengezwa sana huku aiseeee
nakulaga hiyo
Mpwa unakulaga unakunywaga???????!!!!
Duu basi nikadhani mpwa kuchele
kuchele ndo nini tena mpwa
Kibantu hicho! Kumekucha mpwa
loooh
ila ukimuona huyu bwana mwambie masai dada ana NENO KWAKE