Njuka II
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 400
- 693
Nilianza kuiona comment ya pili ambayo uliniquote,ya kwanza nimeiona baadaNilikua namaanisha hii uliyo jibu hapa mkuu
Nilianza kuiona comment ya pili ambayo uliniquote,ya kwanza nimeiona baadaNilikua namaanisha hii uliyo jibu hapa mkuu
Hebu elezea hiyo ya if function inakaaje wakuuUmetumia nguvu nyingi. Kama ungetumia IF function, the job could have been done within a minute
dah bado walimu tunahitaji semina za wiki mbili na poshoWaalimu tumeelewa
Na posho tena ulipwe mkuu, au unamaanisha wewe ndio unalipa posho kwa mwezeshaji wetudah bado walimu tunahitaji semina za wiki mbili na posho
Mkuu jinsi yavkutengeneza division inakuaje ?Umetumia nguvu nyingi. Kama ungetumia IF function, the job could have been done within a minute
Hapa nafika ila namna ya kutengeneza division Sasa
Na pia Naitaka condition ya kupata points mfano 26 huyo wa kwanza
Na pia Kuna case nyingine unakuta mwanafunzi kafanya masomo chini ya Saba kwaiyo anakua na incomplete tunaweza inandikaje condition yake ?
Ushauri wako umechukuliwa mkuu="IF(COUNT(A1,B1,C1,D1,E1,F1,G1,H1.....)Jifunze basics za Excel kwanza, baada ya hapo utajua task yoyote unayokutana nayo unaikabili vipi vinginevyo utakuwa unakariri formula