exactly like JF!!!

Dah... Ndugu... Unataka copy and paste eenh.... JF Imetengenezwa kwa VBulleting script.... Kama unataka kuinunua andaa kama laki5 ya kuanzia.... Kisha mengine yatafuata
 
asante sana ....ila ni kwamba sina mpango wa ku copy ila mwanzo nilikuwa nadhani JF walianza from scratch like FB...so the nilivoona the same thing nikahisi kuna tool imetumika kutengeza....
 
mule mule asee,ila ndo utandawazi,uniqueness ya JF inatokana na contents zake,na reputation yake.hata ingefanana na nini,bado naipenda JF.sihami ng'oo!!
 
asante sana ....ila ni kwamba sina mpango wa ku copy ila mwanzo nilikuwa nadhani JF walianza from scratch like FB...so the nilivoona the same thing nikahisi kuna tool imetumika kutengeza....

nimekusoma,
 
hey open the link EXCEL VIDEO TRAINING/TUTORIALS the site looks exactly like JF except few parts .....can any one tell me ni tool imetumiaka kutengeneza JF ?(just curious).....

kuna site nyingi zinatumia script hii ila hazifanani na jf coz theme tofauti, ishu sio kufanana, ishu ni ufanyaji wa kazi, inatimiza lengo lake la kuwakutanisha watu zaidi ya elfu moja kwa mara moja wajadili mambo mbalimbali
 
asante sana ....ila ni kwamba sina mpango wa ku copy ila mwanzo nilikuwa nadhani JF walianza from scratch like FB...so the nilivoona the same thing nikahisi kuna tool imetumika kutengeza....

cdhani kama FB ilianza from scratch sina hakika lakini sidhani.
 
Back
Top Bottom