Ex Wangu Ulaaniwe Kabisaa..!!

Mie mnyamwezi Matata biti langu ni zaidi la huyo ex wako. Bora hata usiwaze kuyajenga na Kasie.
Khaa we mnyamwezi mimi ni Muarusha na Mmasai,so akuna ugumu nionee huruma mdogo ako Sister Kasie
 
Habari za wakati huu wana,,Hopefully mko vyedi,,,Acha niende live kwenye topic,,Juzi kati tu apa fiade nikiwa nime'chill ki'home boy sina njaro na izi ma'raia za apa Gachuland,Mala ghafla mlango unagongwa kwa nguvu,Khaa..!!Al-Shabibi wamevamia tena kipande hii au niaje??nilijiuliza ila nikasema Anyway acha nifungue,ile nafungua nilishtuka kinyama utafikiri nimeficha Pembe za ndovu mle ndichi kwangu,,Alikua ni manzi angu mmoko akanikalisha danta tubofonge tuyajenge,,Akaniambia"Mikazo my babe am sorry for this which am goin to tell you,ila inabidi tu ukubaliane na uhalisia,Always a women cheat the best,nisamehe sana nimepata Mwanaume ambae atanioa Mwezi ujao,Naona niko sahihi sababu wewe sijui ata utanioa lini coz ndo kwanza bado unasoma yaani bado kama miaka sijui mingapi uko?alafu ubishoo ndo umekukaa,kwahyo let me go though I'll miss ur Jokes,loves,bye bye",,Muda huo anatiririka Chaliako sijaongea ata neno moko nipo tu namdeku hadi anateleza kurudi alipotokea,,Jana sasa nikiwa road niko na'machalii zangu tunashuka danta ndichi kula vitu vyetu ambavyo sio vya duniani,Namuona yuko kwenye Harrier na Dingilii fulani ivi lipolipo tu akashusha vioo akaniangalia kwa dharau hadi machalii wakaniuliza "Uyo si manzi ako mikazo ndani ya ndinga sijui yuko na Mshua'ake?',,Sasa me Nasemaaje...??!!Wewe Ex najua ata humu JF upo,popote ulipo hujanikomoa wala nini nakwambia,alaf wale watu tuliokua tunawasema vibaya pindi tupo pamoja naenda kuwasanua,Alaf hilo lizee lako naweza ata kulichora kwenye karatasi ata kwa mkono wa kushoto lilivo,,Yaani natamani uibiwe ukimkimbiza mwizi ugongwe na gari ije ambulance ikubebe ifike darajani idondoke kwenye makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na ma'samaki alaf samaki avuliwe na mvuvi aniuzie mimi nimuoshe nimbandike jikoni nisinzie samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na paka kisha paka nae alishwe sumu uko adanje,,Yaani umeniumiza kisoro ujui tu simbilisi wewe,Hivi kweli wewe wakunifanyia mimi ivo?nilikua nakuona mstaarabu..!!
@ChaliiYaKijengeJuu.
Una undugu na yule jamaa anajiita Beneficial??
 
Back
Top Bottom