Ex wangu hataki tuachane na analazimisha nizae naye akiamini mtoto atakuwa kiunganishi wetu katika ndoa

Upo njema😅
Yaaaani niko vizuri.
Sema ndo Mungu hakupi vyote, wanapikiwa vizur kabisa ila sasa?
Hehehhehehhehehe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaaaani niko vizuri.
Sema ndo Mungu hakupi vyote, wanapikiwa vizur kabisa ila sasa?
Hehehhehehhehehe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unafeli wapi sasa 😅 yani mwanamke mrefu, mrembo, kupika unajua ila unaachwa ~ in Muroto voice
 
Unafeli wapi sasa 😅 yani mwanamke mrefu, mrembo, kupika unajua ila unaachwa ~ in Muroto voice
Kuachwa siachwi ila, Mungu baba anajua hizo vurugu zake.
Ila nimezeeka now, niache ukorofi.
Niwe mdada sijui mmama mtulivu, si eti?
 
Kuachwa siachwi ila, Mungu baba anajua hizo vurugu zake.
Ila nimezeeka now, niache ukorofi.
Niwe mdada sijui mmama mtulivu, si eti?
Heheheh sasa unafanya vurugu tena 😅 halafu unategemea usikimbiwe! Mapenzi sio uwanja wa vita 😅 utulivu ni kiungo muhimu alaah! Kaa kwa pattern acha ligi😅 hata mie naona umekuwa sikuhizi!
 
Heheheh sasa unafanya vurugu tena 😅 halafu unategemea usikimbiwe! Mapenzi sio uwanja wa vita 😅
Ngoja nirudie manual ya mke mwema.
Niache na kunywa konyagi.
Niache kuvaa kaptura na raba nianze kuvaa tight na magauni.
Nianze na kurembua nikiongea, mana sio kwa jicho kavu hili.
Kama nanawia siki

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani wazazi wetu si walitufundisha watoto wananunuliwa dukani?

Mwambie tu mpenzi wako wa zamani naye akanunue huko...

Kama hana hela mwambie Watu8 atamgea
 
Ngoja nirudie manual ya mke mwema.
Niache na kunywa konyagi.
Niache kuvaa kaptura na raba nianze kuvaa tight na magauni.
Nianze na kurembua nikiongea, mana sio kwa jicho kavu hili.
Kama nanawia siki

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaonaekana ni Salama j wa mwendokasi😅
 
Mm ni kijana nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja, ila kutokana na tabia zake nikaamua kumuacha, ila yeye hataki kusikia hilo neno la kuachana na yupo tayari niwe na mwanamke mwingine ila yeye nisimuache, na sasa hv analazimisha nikutane naye ili nimpe mimba azae na mimi.

Nitumie njia gani ili anisahau kabisa
Huyo yupo kwenye campaign ndugu ukishampa jimbo ndo utajua nia yake halisi.
 
Heheheh sasa unafanya vurugu tena 😅 halafu unategemea usikimbiwe! Mapenzi sio uwanja wa vita 😅 utulivu ni kiungo muhimu alaah! Kaa kwa pattern acha ligi😅 hata mie naona umekuwa sikuhizi!
Kwamba nimekuwa wife material?
 
Akipiga simu usipokee
Akituma msg usimjibu
Block whatsapp, fb na insta
Akipiga kwa namba nyengine "kata simu"
Usimpigie simu wala kumjulia hali
 
Achana na hii mambo utanyooka nakwambia atakwambia atalea mwenyewe mtoto ila ukweli utalea mtoto na mama ake,

Nina Ma Ex 3 kila mmoja anasema ana mimba wawili kama 7 mwingine 3, wamesema wanazaa, sasa nina mpango nikimbie mjini nirudi kijijini tuuu nikapumzike hata mwaka kwanza naona jiji chungu
Hahaaa
 
Mm ni kijana nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja, ila kutokana na tabia zake nikaamua kumuacha, ila yeye hataki kusikia hilo neno la kuachana na yupo tayari niwe na mwanamke mwingine ila yeye nisimuache, na sasa hv analazimisha nikutane naye ili nimpe mimba azae na mimi.

Nitumie njia gani ili anisahau kabisa
Sio anataka kukushikisha mimba?
 
Back
Top Bottom