Ex wangu hataki tuachane na analazimisha nizae naye akiamini mtoto atakuwa kiunganishi wetu katika ndoa

Kama mshaachana we endelea na mishe zako atakusahau tu,sio unasema mmeachana ila bado unamjali utadhani mko penzini.

Hiyo inamfanya aamini wewe ni wake,hata kama unamuonea huruma,jikaze kiume na ukeep distance.

Utakuja lata mtu wa kujenga nae future huyo ex wako atakuharibia vibaya huku akiwa na ushahidi meseji zako za "umekula?"
 
Back
Top Bottom