Ex-wako anapokusifia sana inaashiria nini jamani?

Unaonaje anastahili au la?

Binafsi naona anastahili lakini hatapewa.
 
Ngoja nimuulize kwanza mahondaw anasemaje?

Kuna mahali nmeona kamsifia Sana mwamba Smart911
Hahahaaa mkuu ulitaka nikusifie wewe! The man is blessed enough sitaacha kumsifia iwe leo iwe kesho, awe namimi asiwe namimi nitamsifia kama wewe ni mwanaume kwake ukasome mkuu huingii hata robo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom