Mjamii
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 1,027
- 312
Unavyosema ameondoka na moyo wako hiyo damu ingesukumwa na nini? Usingekuwa kuwa haiMm kaondoka na moyo wangu
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Unavyosema ameondoka na moyo wako hiyo damu ingesukumwa na nini? Usingekuwa kuwa haiMm kaondoka na moyo wangu
Kwa jinsi nilivyompenda nikamkabidhi moyo wangu, ww uoni kaondoka nao!Unavyosema ameondoka na moyo wako hiyo damu ingesukumwa na nini? Usingekuwa kuwa hai
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Dah pole sana mkuu hebu mtafute akurudishie tu moyo wako moyo ni kila kituKwa jinsi nilivyompenda nikamkabidhi moyo wangu, ww uoni kaondoka nao!
Moyo, kwa iyo kwa hakika ushakufa?Mm kaondoka na moyo wangu
Mapenz ya miaka ya 80 au 90 mkiachana unachoma picha zote na kad bila kusahau barua au vimemo vya kimahabaHlf zilikuwa nyingi halafu nzuri, Nahisi atakuwa alizifuta uchoyo mwingine wa kijinga sana
Zilikuwa kwa laptop yakeMapenz ya miaka ya 80 au 90 mkiachana unachoma picha zote na kad bila kusahau barua au vimemo vya kimahaba
Zilikuwa kwa laptop yake
Asante mpenziAithee pole sana mchepuko wangu
chukua maamuzi magumu tuNaona muda unaenda sasa
Asante mpenzi
Yeah Niko poaKwema lakin
Yeah Niko poa