Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

Write your reply...boksi langu niliifadhi misokoto na majani ya mmea aka bangi au cannabis sativa ilikuwa nzuri sana Nadhan kilikuwa kitu cha mererani au umbuluni kile nlikuwa najisevia taratibu Kama dozii aliamua kuondoka nalo Licha ya kujua kilichomo naskia alienda kulichoma moto

kokote ulipo mama malipo ni hapahapa duniani mungu atanalipia tu sio kwa dhuluma hiyo

😂😂😂😂😂
 
Nimekuja kugundua kachukua vitu vingi kwangu......I hope Karma finds you before you die!!!!
 
Write your reply...boksi langu niliifadhi misokoto na majani ya mmea aka bangi au cannabis sativa ilikuwa nzuri sana Nadhan kilikuwa kitu cha mererani au umbuluni kile nlikuwa najisevia taratibu Kama dozii aliamua kuondoka nalo Licha ya kujua kilichomo naskia alienda kulichoma moto

kokote ulipo mama malipo ni hapahapa duniani mungu atanalipia tu sio kwa dhuluma hiyo

Senge sana....

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom