Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,719
- 20,531
- Thread starter
- #81
Ndiyo imefanya makosa,kwa kuwa hivho kinachoitwa chanjo,sio chanjo ni sumu,tena potent.Utawekaje Graphene Oxide kwenye mwili wa mtu,una nia gani?Utamuwekeaje mtu chip bila consent yake kwa nia ya kumfanya zombie:afanye unavyotaka?Utamuwekeaje mtu Operating System,amekuwa computer?Utaharibuje immune system ya mtu,tena kwa makusudi ili augue sana?Utaharibuje utu wa mtu ili asiwe na haki za binadamu,awe mtumwa wako kwa kuwa utu umekoma?Ni ushetani,ushetani usioelezeka na ni lazima tuukatae kwa nguvu zetu zote.Nirudie,tukinyamaza tumekwisha,ni lazima katika umoja wetu tuseme hapana,hii haikubaliki.Hilo ni sahihi,napingana na wale wanaosema serikali imefanya makosa kuruhusu hiyo chanjo.