Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,848
- 20,697
Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19.
Kwa hiyo Mwanasayansi aliyebobea kama yeye anaposema: ".. Chanjo za Uviko-19 si salama," basi huyu awe ni mtu wa kusikilizwa kwa juhudi zote, kwa sababu kauli yake ni kweli,kauli yake haina chembechembe za ubinafsi, kauli yake inajitegemea kwa asilimia mia moja. Wakati hawa madaktari wengine, (ambao wengi wao wapo kwenye makwapa ya makapuni makubwa ya madawa, hawa siyo tu ni wa kupuuzwa,bali wawe ni wa kutazamwa kwa macho mawili, kwa sababu wanahatarisha uhuru na usalama wa nchi na wananchi wa Tanzania.
Profesa Mike Yeadan hayupo peke yake. Timu ya uchunguzi ya madaktari huko Uingereza hivi karibuni imeishauri serikali ya nchi hiyo kusitisha mradi wa chanjo za Uviko-19 mara moja kwa sababu si salama.
Bingwa mwingine kwenye utengenezaji wa hizi chanjo na ambaye pia kakiri kuwa chanjo za Uviko-19 si salama ni Dr. Geert Vanden Bossche.
Mtaalamu mwingine, Dr. Hall, akiongea mbele ya Senate Committee on State Affairs huko Marekani alisema hivi:
"Mwaka 1976 chanjo za "swine flu" watu takribani milioni 45 walichanjwa. Kati ya hao watu 53 (hamsini na tatu) walikufa kutokana hizo chanjo. Matokeo yalikuwa ni chanjo hiyo kupigwa marufuku mara moja kwa hoja ya kuwa zilikuwa hatarishi,yaani si salama.
Wakati katika muhula wa miezi minne tu, Desemba 2020 hadi Aprili 23, Chanjo za Uviko-19 zimesababisha vifo vya watu
3,362,yaani wastani wa watu 30 kila siku, na bado Ulimwengu umekaa kimya kabisa. Nini kinafichwa hapa?"
World Doctors Alliance, umoja unaokusanya maelfu ya madaktari kutoka kila kona ya dunia nao umetamka bila kigugumizi kuwa chanjo za uviko-19 si salama.
Chanjo hizi zinasambazwa kwa kutumia kitu kinachoitwa Emergency Authorization. (idhini ya dharura) Hii ni kukwepa uwajibikaji, kwani hii ndio njia pekee wanaweza kisheria kutumia ile "caveat" ya kukataa kuwajibika. Nchi ikishatoa "Approval" basi hili la kutowajibika haliwezi ku-'apply' tena. Ndiyo sababu hakuna nchi hata moja hadi sasa ambayo imetoa approval, mataifa yanakwepa kuwajibika.
Jambo lingine la kulizingatia ni kwamba Mabeberu wa nje na ndani, wanasambaza chanjo za Uviko-19 kwa kutumia silaha kuu tatu: Ulaghai, Vitisho na Rushwa.
Hivyo basi, watu wote wanaoshabikia chanjo hizi watakuwa wame-'fall victim to one of these three weapons.'
Kwenye hili sakata la chanjo za Uviko-19, swali lingine la msingi ambalo bado linalilia jibu ni hili: Dawa zilizothibitika kuponya huu ugonjwa zipo, kama Hydroxychloroquine, Ivermectin, Covidal, Nyungu, ile ya Madagascar nk nk nk. Kwa nini dawa hizi zote zimezimwa, badala yake zinasambazwa chanjo zisizoponya, zisizoweza kuzuia kuambukiza au kuambukizwa na ambazo ni sumu? Kwa nini?
Clips zinazo comfirm ubaya wa chanjo za Uviko -19.Zipo nyingi sana,sana,sana,hizi ni chache tu.