Ex-President Jakaya Kikwete Uses Influences with Samia to China's Favor!

Kwanini kwenye hiyo Habari wameshindwa kuweka ushahidi wa vipengele vya mkataba wa bandari ya bagamoyo?. Je unintelligent wao uko wapi?, halafu wachangiaji wengi inaonekana bado hawaamini kuwa hii ni awamu ya 6
 
Baba hua ni mtawala wa familia,hua na mipango yake ya kifamilia. Pindi anapoiacha familia baba ajae huja na mipango yake
Samia anae mtu sahihi ambae si tu kama akitaka atampa ushauri bali pia ni Rais ambae ameongoza nchi kwa upendo ambao haijawahi tokea.
 
Siyo endapo. Hili linajulikana. Hili gazeti limeandika siri iliyo wazi. Hii kasi ya kupigia debe bandari ya Bagamoyo ilianza mara baada ya rais Samia kuapishwa. Kikwazo kilikuwa ni Magufuli tu.
Nadhani wote waliokuwa wanapinga huu mradi ni shauri ya kutokuwa na uelewa wa mambo ya biashara ndio maaana hata spika alipoelewa umuhimu wake ndio akawa wa kwanza kushangaa ilikuwaje mradi kama ukataliwe ?
 
Vile mzee wa Msoga anaendesha nchi kutokea huko Msoga kupitia remote controll😁😁😁
_20190906_111046.JPG
 
Africa Intelligence haidanganyi. Na inside information zake sio free.
Wabongo kwa kupiga domo ni hatari, mna akili kama mizoga.

Wakati wa Magu lawama zilikuwa HASHAURIKI. Sasa hivi Samia Lawama anachukua sana Ushauri🤣

Hiyo article Kutokuwa free ndio biashara yenyewe.

Sasa biashara huwezi kuandika CORONA imetandika familia ya Mbowe ikawa taarifa ya kuuzika.

Ni lazima utafute na kutunga vijitaarifa ambavyo vinazua CONTROVERSY ili viende viral ili uuze.

Kama kweli wao ni mabingwa wa intelligence waweke wazi huo mkataba wa Bagamoyo kwenye blog yao.

Sana sana hizo ni stori za kutunga tu na kuunganisha matukio kama za kina Kina Kigogo, Kubenea na Yericko Nyerere.
 
Mzee kumbe presidaa ni moja ya kazi zake za nje! Ndio maana ana power ya kumuendesha
Kwahiyo sasa hivi ni kosa tena Rais kupokea ushauri ?

Anatakiwa kuwa HASHAURIKI kama Magufuli?

Kama JK ndio anaendesha nchi mbona CHADEMA hawafanyi mikutano na maandamano kama enzi zake?
 
Kama Kikwete anatumia ushawishi wake kwa China kuiwezesha ujenzi wa bandati ya bagamoyo,hizo ni habari njema sana.

Bandari ya Bagamoyo ni mradi mzuri mno ambao utaiweka tanzania katika nafasi ya juu kabisa kiuchumi katika nchi za maziwa makuu.

Bandari hii,ambayo itahusisha ujenzi wa industrial estates kibao,itatoa maelfu ya ajira kwa watanzania na kuuifanya tanzania kuwa kitovu cha biashara katika ukanda huu kama ilivyo Dubai kule arabuni.
Unaifananisha Tz na Dubai au we ndo kikwete mwenyewe?
Hizo pesa zinazotumika kwanini zisitumike kuziendeleza bandari zilizopo Mungu anatupenda ametupa bandari ngapi kwanini akili/pesa isitumike uko kuzifanyia marekebisho.
 
Africa Intelligence website imeripoti kwamba Ndugu Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa amamu ya nne anatumia ushawishi wake kwa Samia suluhu kuhakikisha kwamba Bandari ya Bagamoyo ambayo ujenzi wake ulisimamishwa na Ndugu JPM kwa kigezo ni mradi ambao ulikuwa unakwenda kulifisadisha taifa, kwamba kwa sasa, Mtaalamu huyo na Nguli wa siasa nchini Tanzania anatumia fursa iliyopo kuhakikisha MRADI huo wa wachina unasimama kwa spidi ya aina yote.

Aidha, Gazette hilo linatutanabaisha kwamba, JK amekuwa ni mshauri asiye RASMI juu ya mambo mengi ya TAIFA kwa sasa, kwa maana isiyo rasmi, ni Kiongozi rasmi nyuma ya pazia juu ya mambo mengi yanayoendelea nchini Tanzania ikiwemo na uingizaji wa chanjo ya UVIKO.

( Source; Africa Intelligence: exclusive news on Africa )

View attachment 1847575


Nini maoni yako?
China walimwachia kijana wake alipokamatwa na madawa ya kulevya
 
Unaifananisha Tz na Dubai au we ndo kikwete mwenyewe?
Hizo pesa zinazotumika kwanini zisitumike kuziendeleza bandari zilizopo Mungu anatupenda ametupa bandari ngapi kwanini akili/pesa isitumike uko kuzifanyia marekebisho.
Ile ni FDI.

Siyo pesa ya serikali. Mna vuchwa vigumu sana ninyi machagga
 
Ile ni FDI.

Siyo pesa ya serikali. Mna vuchwa vigumu sana ninyi machagga
machagga ndo nn?

Siyo pesa ya serikali wanajenga bure au ni mkopo?

Wewe mwenye kichwa kilaini ubongo laini mpaka takle laini ni ngumu kuelewa mambo marahisi.
 
Kwahiyo sasa hivi ni kosa tena Rais kupokea ushauri ?

Anatakiwa kuwa HASHAURIKI kama Magufuli?

Kama JK ndio anaendesha nchi mbona CHADEMA hawafanyi mikutano na maandamano kama enzi zake?
Heheheheh nimeongea tu mkuu lengo sio kubishana usinishukie kama mweww tafadhali 😅!

CHADEMA kufanya mikutano wanafanya kimya kimya ila kutoa pua zao road ni ngumu kutokana na vijana wa sirro watafanya kazi yao kwa weledi ndio maana jamaa wameufyata ila wanaendesha kampeni mitandaoni!
 
Huyo msoga ndo mtu sahihi kwa kumpa ushauri mama? Huo upendo unaozungumza hapa unamaanisha nini? Kwa taarifa yako hivi hicho kichwa chako umekibeba tu kinahangaisha misuri ya shingo ila reasoning ndogo sana.
Samia anae mtu sahihi ambae si tu kama akitaka atampa ushauri bali pia ni Rais ambae ameongoza nchi kwa upendo ambao haijawahi tokea.
 
Naona sukuma gang na mapandikizi ya Burundi na kenya mnachangia kwa nguvu uzi ili Tanzania tusiwe na mradi mkubwa kwa maendeleo yetu!

Endeleeni tu ila tumeshawashtukia. Bandari ya Bagamoyo itajengwa ili nchi yetu iweje kupata Bandari bora na ya kisasa ili kuweza ku compete kwenye uchumi wa kisasa.

Eti jarida la African Intelligence. Kama wao ni jarida la Intelligence wangeonesha hiyo intelligence yao kwa kuweka huo mkataba wa Bandari ya Bagamoyo.

Magufuli was a crook kama crooks wengine na Kama mliweza kutumia siasa chafu Kwa kupitia huyo pandikizi wenu aliyejivalisha utanzania huku akiua watanzania basi mjue mmeshafeli. Hamtofanikiwa tena
 
Samia alitakiwa kufanyiwa vetting sana kwenye decision skills kabla ya kukabidhiwa the higher office .

Mradi wa Bagamoyo na Umagharib vinakuja kwa kasi kwa maslaha ya jamii fulan

Katiba MPYA NI lazima.
Ndiyo mjue kutumia akili kwenye chaguzi badala ya mihemuko na ushabiki
 
Back
Top Bottom