MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,759
- 3,033
Wa kwanza kawa wa MwishoMh hii awamu siielewi .... Mpinzani kafutiwa mashtaka huku mwana mfalme anapanda kizimbani.
Wa kwanza kawa wa MwishoMh hii awamu siielewi .... Mpinzani kafutiwa mashtaka huku mwana mfalme anapanda kizimbani.
Barikiwa sana mtumishiAbebaye roho ya ibilisi akiingia katika jamii, jamii yote huwa katika mahangaiko, mateso, chuki, mafarakano na utengano.
Ibilisi akitoweka, akiingia mwenye Roho wa Mungu, jamii hufirahia, hupata matumaini, upendo na umoja huongezeka, mafarakano hupungua, na afya za watu huimarika.
Rais Samia usimwache Bwana hata ukaugeukia uovu, baraka zitakujia, daima utembee na haki badala ya chuki na upendeleo, uishi katika ukweli badala ya unafiki, uukumbatie weledi na ustaarabu badala ya ujinga na ushamba.
Pole Boniface, upo huru siyo kwa sababu ya ujanja wako bali kwa sababu ya mkono wenye nguvu wa Mungu wetu, aliyeamua kuirejeshea furaha nchi yetu baada ya dhiki, mateso, uonevu na maovu mengi.
Amina.Barikiwa sana mtumishi
Isije ikawa yanatengenezwa mazingira ya kuja kubalance matukio kwa kumfutia mashtaka jambazi SabayaAsema Meya Mstaafu,Bonifasi Jacob....Leo ni Siku yenye Furaha sana Kwangu*Huku Dar polisi Oysterbay wamenifutia Tuhuma za Ugaidi na Kupanga Vurugu baada ya Uchaguzi Mwaka Jana,Na Leo wamenikabidhi Simu zangu zote Baada ya Uchunguzi wa Miezi 6
Weekend tamu hii. Huku kicheko kule vilio
View attachment 1808119
Lakini Kaka Boni wala hutakiwi kufurahia sana. Unatakiwa kumshukuru Mungu tu. Maana kiuhalisia yale mashtaka hayakuwa na uzito wa kijinai ilikuwa na lengo la kukulostisha kwenye uchaguzi. Yalianzishwa ili kukulostisha kwenye uchaguzi nadhani wameshinda kwa hili. Lengo la mashtaka ilikuwa kukupoteza kisiasa na sio kijinai.
Shangilia tu kwa kuwa hawakutumia mkono wa chuma kukuzamisha nayo. Ungeozea jela