EX lover wa Obama atoboa siri zake...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
[h=2]A serious man[/h] [h=1]The secret diary of Barack Obama's ex-girlfriend[/h] Revealed: the future president's TS Eliot-inspired fatalism and bare-chested crossword-solving proclivities

Barack-Obama-Harvard-Law--008.jpg

Barack Obama as a student in 1990, at Harvard Law School in Cambridge, Massachusetts, which he attended after graduating from Columbia University. Photograph: Joe Wrinn/AP

kikubwa nilichoona ni kuwa huyu ex-galfriend alichozingatia kweye hulka ya Obama ni pamoja na:-

1) Obama ni msiri sana na hakuwa wazi kwake.

2) Maandalizi ya kuwa Raisi wa marekani aliyaanza mapema sana.

3) Hupenda kujisomea vitabu sana.

4) Ni mtu makini kwenye mipangilio yake.

mengineyo jisomee mwenyewe....................
 
..Mie najiuliza kwanini huyu ex-girlfriend ajitokeze sa hivi wakati Obama anaelekea katika Uchaguzi?!!. Otherwise hizi ni mbinu chafu za wapinzani wake kumpunguzia kura huyu Mjaluo.

Kuna Hii line katika hilo gazeti: If Obama's opponents seek to use the diaries to embarrass the president, there's only one real
line of attack: pretentiousness.
 
Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi
 
..demu: I love u.

..Obama:Thank u.

..inaelekea Obama alikuwa anamdanganya huyo demu.
 
Hilo mbona ndio jibu la kawaida na muafaka?

Gurta,

..demu nadhani ni mzungu.

..sasa mzungu maneno " i love u " huwa wako reluctant kuyatamka.

..kwa huyo demu kumtamkia hivyo Obama maana yake alikuwa anampenda kwelikweli.

..kitendo cha Obama kumjibu "thank u" ndicho kilichomkata maini huyo demu.

..yeye alitegemea Obama atamjibu " i love u too."
 
Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi

Unatakiwa kujua kuwa USA haitwaliwi kama Tanzania. JK anaweza kuagiza tu pesa zikachotwa na kufanya kitu. US ni lazima ukubaliane na Congress, kwa sababu Republicans tokea mwanzo walipanga kumuangusha Obama wamekuwa wakipinga kila kitu anacho initiate Obama. Kama unajua hilo huwezi kumlaumu Obama hata kidogo, amefanya pale uwezo wake unapofika.

Kuhusu hizi story za ma-ex si hazina maana wala nafasi unless waoneshe kuwa kuna infidelity ndani yake (Yaani anatoka ne ya ndoa) Ila kwa past issue ni jambo la kawaida sana.
 
Gurta,

..demu nadhani ni mzungu.

..sasa mzungu maneno " i love u " huwa wako reluctant kuyatamka.

..kwa huyo demu kumtamkia hivyo Obama maana yake alikuwa anampenda kwelikweli.

..kitendo cha Obama kumjibu "thank u" ndicho kilichomkata maini huyo demu.

..yeye alitegemea Obama atamjibu " i love u too."

Kuna namna Obama alikuwa makini na move zake na pia msiri! Haonekani kujiachia sana!!!

Sioni data ya msingi sana ya kumchafua Mkuu Hapa!!

I can say the Man was Lucky ... Si unajua haya majambo mhh! Kila mmoja dairy zikiletwa hapa Loh!! Hata Balozi wa Nyuba kumi hakuna kuona ndani!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unatakiwa kujua kuwa USA haitwaliwi kama Tanzania. JK anaweza kuagiza tu pesa zikachotwa na kufanya kitu.

Kuhusu hizi story za ma-ex si hazina maana wala nafasi unless waoneshe kuwa kuna infidelity ndani yake (Yaani anatoka ne ya ndoa) Ila kwa past issue ni jambo la kawaida sana.
Naomba muelewe kuwa USA bado ipo katika u DINI hasa na tabia za mgombea Urais lazima zifuatiliwe toka udogoni.
Mtakumbuka hata Billy Clinton ilitaka ku cost suala la Monica Lewisky hivyo ishu ya uchafu wa alikuwa shoga au basha bado wanalifuatilia ka kina kabla ya kukubali ugombee.
Kwenye Udini mtakumbuka walishachochea kuwa huko nyuma Obama alishakuwa Islam na wakatoa picha zake akiwa Somalia lilimletea matatizo hadi alipokanusha
mfano rahisi ni Salim A. Salim alipogomea ni kwa nini alikosa UN lakini alipofika Koffi Annan mpaka leo anatumiwa
Tafadhali msipime USA na JK wa TANZANIA
 
Mimi nilijua labda atakuja na issue kama anakoroma sana usiku!
Udaku style ila mengi naona ni mazuri
 
siasi hata kama ni za ulaya zina mambo, sasa kwani kuna mwanaume ambaye hajawahi kuwa na demu zaidi ya gf/ mke wake kabla na baada ya kuoa? why now ajitokeze kisa ni runner, au kwanini kiwe ni kitu special sana wakati ni tabia ya kawaida?
 
Kuna namna Obama alikuwa makini na move zake na pia msiri! Haonekani kujiachia sana!!!

Sioni data ya msingi sana ya kumchafua Mkuu Hapa!!

I can say the Man was Lucky ... Si unajua haya majambo mhh! Kila mmoja dairy zikiletwa hapa Loh!! Hata Balozi wa Nyuba kumi hakuna kuona ndani!!!

...Umeona eeh Mkuu, nadhani sasa anajipongeza sana kwa usiri wake vinginevyo huyu mdada angemtenda, lakini kutokana na hawa Republicans kuwa desperate kumshinda 'Bama wanaweza kumtumia na kumlipa pesa nyingi ili aandike vitu ambavyo si vya kweli ili kumpaka choo 'Bama.
 
Mambo ya kina wema sepetu, hata kwetu wapo hao! Eti na Obama nae aliweka charter!
 
Wajitokeze na EX wa President wetu hapa:tukianzia kwa Alhaji,BWM na JK wetu
 
Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi
Do you really wanna know where america heading?...kweli?
 
Kuna uwezekano Obama akawa One term President, jambo ambalo sitamsikitikia

Haina neno. Amerithi kiti pengine wakati mgumu kuliko mtu yeyote aliyewahi kuwa rais wa Marekani. Vita viwili, uchumi mdororo, nchi imegawanyika sana, etc.
 
Back
Top Bottom