Ex- Kenyatta University VC Olive Mugenda turns down Sh100m retirement package

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,953
Kenyatta University Director of Communication Machua Koinange confirmed that Mugenda declined the offer. “She had said she didn’t see the need of such a package since she was doing her job as a public servant who expected no special treatment upon her retirement,” Mr Koinange said. He said Mugenda’s letter stating that she had declined the offer would be handed to the council today.
Read more at: Ex- Kenyatta University VC Olive Mugenda turns down Sh100m retirement package
 
Huyo mpuuzi... by the times she realise that the money was not for her, but for her children and grand children, it will be too late
Sasa unajua yeye amewekeza kwenye vitu gani ?? Pengine ana miradi yake inayompa zaidi ya hiyo 100M ,na ameridhika nayo ,watu wengine investment wanayofanya ni kuwekeza kwenye elimu za watoto wao na mpaka kufikia ku retire atakua kafanya hivyo
 
Haijawahi kutokea pesa ikatosha... especially kwenye mifumo dhalimu kama ya Africa... hata kama ana pesa kiasi gani, ninaijua Nairobi na kuna masikini kila mahala... She could have taken the money and operate a charity ya vijana walio under-priviledged but want to get good education, au health au anything

In poor countries like ours, you dont reject such opportunities to "directly change lives of others"
 
Mkuu ndio imetokea sasa kwa huyo mama sio kila mtu ni mlafi ,ameridhika na alicho kipata yeye ameona inamtosha ,tunao mfano mzuri Nchini kwetu Nyerere alisha fanya hivyo ndio maana amekufa maskini ,ila kwenu Kenyata robo ya ardhi ya Kenya ni yake ,hivyo usikariri tu kwamba pesa hazitoshi ,wewe unajua ana kiasi gani ??
 
Huyo mpuuzi... by the times she realise that the money was not for her, but for her children and grand children, it will be too late
Mbona Lukuvi alikataa billioni tano, sembuse hiyo hela ya mboga, kwanza watoto wake walishajitegemea na familia zao mahela yote hayo ya nini hatamie ningeyakataa.
 
NI MPUUZIII TUU. IYO HELA NI HALALI KABISA SIYO HARAMU ANGECHUKUWA TU. HUENDA ANACONTEST NOBLE PEACE PRICE AWARD. NA HAWATAMPAA. PESA SIYO SHETANI BALI MTUMIAJI ANAWEZA KUWA SHETANI.
 
Mbona Lukuvi alikataa billioni tano, sembuse hiyo hela ya mboga, kwanza watoto wake walishajitegemea na familia zao mahela yote hayo ya nini hatamie ningeyakataa.
Lukuvi ni nyangema TU.
 
Mbona Lukuvi alikataa billioni tano, sembuse hiyo hela ya mboga, kwanza watoto wake walishajitegemea na familia zao mahela yote hayo ya nini hatamie ningeyakataa.
BIlioni tano ya Lukuvi ni rushwa na ni kinyume na sheria... HUyu msomi alikua anapewa a golen handshake, something she earned
 
Wana na wajukuu watatafuta zao, kwani yeye aliandaliwa nini na baba/babu zaidi ya kusomeshwa?
Waliomsomesha kuna vitu walisacrifice especially kwa kuwa yeye ni binti... They prepared a platform for her...

If it wasnt for her elders recognition of her future needs, she would have been married at a tender age of 14 and raise kids... Ukifuatilia kwa makini, hata uhuru ulionao sasa hivi ulipiganiwa na babu zetu

Dont be myopic... we live to pass on to our future generations, not to pass out
 
Mkuu ndio imetokea sasa kwa huyo mama sio kila mtu ni mlafi ,ameridhika na alicho kipata yeye ameona inamtosha ,tunao mfano mzuri Nchini kwetu Nyerere alisha fanya hivyo ndio maana amekufa maskini ,ila kwenu Kenyata robo ya ardhi ya Kenya ni yake ,hivyo usikariri tu kwamba pesa hazitoshi ,wewe unajua ana kiasi gani ??
Kuna tofauti kati ya ulafi na ujinga

hiyo pesa haikua rushwa, it was her earning, just like pension au bonus

Anyways i was looking at how she could make an impact to people even out of her system...

We differ
 
Sijakataa ,sasa ujinga wewe sijui unatumia kifaa gani kupima ,mtu ambaye alikua VC wa Kenyatta university unamwita mjinga kisa hajachukua hiyo pensheni ?? Aisee basi Kenyatta University itakua imezalisha wajinga wengi sana under her administration
Yeah we differ why are you bothered then ?? That's her legacy and she will be remembered couple of years to come.
Besides hiyo hela kwani amepewa akachoma moto si inabaki serikalini ,serikali ikafanyie mambo mengine
 
Sijakataa ,sasa ujinga wewe sijui unatumia kifaa gani kupima ,mtu ambaye alikua VC wa Kenyatta university unamwita mjinga kisa hajachukua hiyo pensheni ?? Aisee basi Kenyatta University itakua imezalisha wajinga wengi sana under her administration
Yeah we differ why are you bothered then ?? That's her legacy and she will be remembered couple of years to come.
Besides hiyo hela si inabaki serikalini ,serikali ikafanyie mambo mengine
TUlia kwanza... sijamwita mjinga, nimesema kuna tofauti kati ya ulafi na ujinga!! Mara chuo kitakua kimezalisha wajinga wengi, bla bla bla... this is bullcrap kabisa from you... you cant even analyse a simple sentence na context yake

KUhusu yeye/mimi/wewe... this is a public forum, the moment you bring some stuff here ujue kuna watu watachangia

You're trying very hard not to understand... when you are done, then try to understand
 
Wanawake wajifunze kutoka kwa huyu mama, huku kwetu utakuta mama boss ukimwambia karibu lunch ataacha kazi zote, mama anaendesha prado anakaribishwa soda ya miatano anapaki na kukaa kunywa na ndo mwanzo wa kutongozwa.

Wabunge fulani walikutwa na simbachawene bar kule singida wakamlazimisha awanunulie bia.

Wabunge wa ukawa walizamia sherehe za ufunguzi wa kituo cha tenesco na kulazimisha wakae meza kuu ili vinywaji viziwapite mbali.

Huyu prof Muganda kwa kweli kawa mfano wa kuigwa na kaitendea haki taaluma yake.
 
Back
Top Bottom