Ex girlfriend wangu anaolewa lakini bado nampenda naombeni ushauri wenu

Licha ya sasa nina mpenzi mwingine ambae tunapendana Kwa dhati na ninampenda na Ananipenda tuu

Leo nimepata taarifa girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana nikiwa bado nampenda, Na bado naendelea kumpenda baada ya kupewa taarifa na mtu
Wa karibu anaolewa roho inaniuma Sana yaani nashidwa kuvumilia

Natamani niende kufanya vurugu
Ukumbini
 
Ukifika ukumbini anzia kwa kidume piga nakoz za kutosha then unahamia kwa wazazi wa mwanamke,umesikia we koro?
 
Licha ya sasa nina mpenzi mwingine ambae tunapendana Kwa dhati na ninampenda na Ananipenda tuu

Leo nimepata taarifa girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana nikiwa bado nampenda, Na bado naendelea kumpenda baada ya kupewa taarifa na mtu
Wa karibu anaolewa roho inaniuma Sana yaani nashidwa kuvumilia

Natamani niende kufanya vurugu
Ukumbini

Wewe hukuona ana thamani ndio maana jamaa mwingine anaoa. Hii tabia ya kumchukulia mwanamke kama ni chombo cha kustarehesha tu ndio limefanya yote haya. Sasa katokea mwenzako aliye serious unaanza kuona wivu. Pambana na hali yako mkuu mwache mwenzio afunge ndoa kwa raha zake.
 
Haukuwa mwanaume sahihi kwake.

Kubaliana na hilo, kila mtu hupenda kilicho bora.
 
Licha ya sasa nina mpenzi mwingine ambae tunapendana Kwa dhati na ninampenda na Ananipenda tuu

Leo nimepata taarifa girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana nikiwa bado nampenda, Na bado naendelea kumpenda baada ya kupewa taarifa na mtu
Wa karibu anaolewa roho inaniuma Sana yaani nashidwa kuvumilia

Natamani niende kufanya vurugu
Ukumbini
Ushawahi kulala selo?
 
Back
Top Bottom