MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,519
- 1,367
Yaani huyu Jamaa alikuwa Askofu RC: Akajifanya anawasaidia akina mama maskini, akawapa wengine mimba!
Mwaka jana akaacha uaskofu akachaguliwa Raisi!
Sasa akina mama wawili wamejitokeza kudai matunzo ya watoto!
Je kwa nini asioe kabisa sasa ili nchi iwe na 1st Lady?
Tayari amekubali mtoto mmoja baada ya mama mtoto kulazimisha wakapime DNA
Huyu ni raisi wa Paraguayi: Fernando Lugo
BBC NEWS | Americas | Second Paraguay love-child claim